Ni Alhamisi ya mwisho ya mwaka 2018, mwaka huu ulikua mwaka ambao watu walipendeza sana lakini pia kulikuwa na wale wachache ambao waliharibu kweli kweli, hii mionekano ni ile ambayo tuliiona kutoka kwa watu maarufu mbalimbali iwe katika red carpets, street style, wakiwa kazini na hata wale ambao walienda kwenye interviews na tukaona wame dress up vibaya.
Leo tunakuletea mionekano ambayo tumeona haikuwa mizuri kabisa katika mwaka huu 2018 lakini pia tutakuletea ile mizuri kabisa tuliyo iona mwaka 2018,Lengo kubwa ni kurekebisha pale ambapo tumekosea na kukazia pale ambapo tulipatia na kuongeza zaidi ili tufike mbali zaidi.
- A Boy from Tandale Launch Red Carpet
Diamond Platnumz ali launch album yake ya A Boy from Tandale Nchini Kenya, na haya ndiyo yalikuwa mavazi ya crew yake yote katika red carpet hio, kila mmoja ana mistake yake katika outfit yake bora wangekaa mmoja mmoja kuliko kupiga picha ya pamoja imefanya ionekane more worse ni kama a package ya mistakes ukaletewa hii package at the same time.
- Wema Sepetu
Wema ni moja kati ya wasanii wakubwa Nchini na huwa tunamuangalia kama moja ya wasanii wanaofanya vizuri, mwaka huu tulimuona na hii outfit ambayo haikuwa fashionable na wala flattering to her body, kwa jinsi ambavyo tunamuaminia Wema katika swala zima la mavazi we must say she dissapointed us na hii outfti. Japo she did her best na nyingine hii ilimrudisha nyuma mwaka huu.
- Hamisa Mobetto
She gave us slayage this year lakini pia she had her worse times na hii ni moja wapo, si outfit mbaya sana lakini a lot is going on as a fashionista tunadhani Hamisa anajua Whats Up & Whats Not, Gauni lenyewe lina mambo mengi, nywele akaachia akaongezea the beret, mwisho kabisa akamalizia na kicks na socks well this could look better on a doll.
- Jacqueline Wolper
Kama ambavyo anajiita Wolper Stylish, Ni stylish kweli kweli hatujajua kwanini aliamua kuvaa hii outfit akiwa club, moja kati ya vitu ambavyo kama msanii na stylish person unatakiwa kujua nini cha kuvaa wapi na kivaliwe vipi, hii ilikuwa fashion mistake this was a club appearance sio send off wala movie premier the outfit deserved better venue, agood outfit wasted on a wrong venue.
- Nisha / Salma Jabu
Nisha anahitaji kujua nini kinaendana na mwili wake, nini cha kuvaa na nini cha kuachana nacho na kama unataka kukivaa inabidi uvaeje, this outfit ina mambo mengi kweli kweli, and the hair made it even worse. Kama angetoa fishnet socks, na hizi socks za njano akabaki na biker shorts na hii shirt na kuondoa hizi nywele tungekuwa tunaongelea swala lingine. but this was a dissapointment.
- Bill Sepetu
Ni mtangazaji wa Friday Night Live, Channel 5 as a media personality tunadhani Bill anahitaji sana ku-concetrate na muonekano wake lakini pia ajue kimo chake na mwili wake ni wa aina gani, si kila trend ya kuijaribu sometimes vingine tuwaachie wengine, Bill ni mfupi na mnene anatakiwa kuvaa fitted cloth na zile ambazo zitamfanya kidogo aonekane na kimo, yeye aliamua kuvaa hizi oversized cloth for trendy sake & we have one word for the outfit “Distaste”
- Diana Edward
Miss Tanzania 2016 Diana Fkave alipanda kwenye jukwaa la Miss Kinondoni 2018 ambapo alienda kukabidhi taji kwa Miss mwingine, Diana alipanda kwenye jukwaa na hii outfit, tunaweza kusema the only thing ambacho kipo right kwenye hii outfit ni viatu, the dress was wrong, nywele na makeup ndio kabisa wrong wrong wrong tunafurahi kusema kwamba amejifunza na bado anaendelea kujirekebisha kwenye mionekano yake.
- Agness Kutoka GiftedHand
Mbunifu Agness kutoka katika kampuni yake ya gifted hands alihudhuria katika Miss Tanzania akiwa kwenye hii pweza inspired outfit, tuanfurahi kwamba alifikiria nature but baby girl this was very wrong, wrong venue lakini pia bad execution.
- Amber Lulu
Amber alikuwa ana jaribu kuwa Victoria Secrets Angels kwa bahati mbaya aka-turn out kuwa kunguru.
- Shilole
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/throwing-back-to-the-worst-outfits-we-saw-on-2018/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 68916 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/throwing-back-to-the-worst-outfits-we-saw-on-2018/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/throwing-back-to-the-worst-outfits-we-saw-on-2018/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/throwing-back-to-the-worst-outfits-we-saw-on-2018/ […]