Tukiwa tunaongelea wakongwe au mama katika mitindo basi huwezi kumuacha bi Asya Idarous Khamsin  Asya amekua kwenye ulimwengu wa mitindo kwa zaidi ya miaka kumi, Asya ni mhasisi wa Tamasha la Lady In Red ambalo mwaka huu linafanyika kesho (9.12.2018) na katika onyesho hili Asya ana staafu kuandaa tamasha na Lady in Lady na  kuwaachia Tamasha la Lady In Red wengine mwenyewe anasema vijana, we applaud you Asya kwa uamuzi huu ni kweli tunahitaji watu wapya katika matamasha mbalimbali fresh ideas na well tunasema asante kwakua mhasisi wa mitindo tunaweza kusema bila nyinyi tusingekuwa sisi.

Kwa kumuaga Asya tuna throwback na collection yake aliyo ishowcase mwaka 2014 katika tamasha la Swahili Fashion Week,

 

Ilikua ni collection ya Khanga iliyo shonwa na kubuniwa vizuri kabisa.

Tamasha la kumuaga Asya Khamsin litafanyika King Solomon Hall kesho