SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Timberland Boots Are Making A Comeback
Mitindo

Timberland Boots Are Making A Comeback 

Timberland boots zilikuwa founded mwaka 1973 na Nathan Swartz,kutokana na durability ya viatu hivi vilianza kujulikana na kuvaliwa na constructions workers, lumberjacks na wafanyakazi wa kazi nyingine ambazo zinahitajika viatu vigumu.

Miaka ya 80 na 90 vikaanza kuvaliwa na watu wa kawaida na hii ilitokana na kuonekana kuvaliwa sana na wanamuziki wa hiphop, kuanzai hapo timb’s zikawa zinavaliwa sehemu mbalimbali na wanawake pamoja na wanaume, lakini kwa miaka kadhaa vilitoka kwenye trend na ikiwa miaka hii style za miaka ya 80 na 90 zimerudi basi na zenyewe zinaonekana kurudi kwa kasi.

Tumewaona watu maarufu mbalimbali kutoka Tanzania wakiwa wamevalia tend hii kwa wanawake tumewaona Maua Sama na Frida Amani,ambao wao walizi-style sexy kidogo Maua akiwa amevalia viatu hivi na mini skirt huku Frida akiwa amevalia na biker shorts.

Wengine ambao tumewaona ni pamoja na Nandy na Irene ambao wao walikuwa in tom boyish style, Nandy akiwa amevalia denim on denim look wakati Irene yeye akiwa amevalia oversized denim jeans, jersey na viatu hivi.

Kwa wanaume ambao tumewaona ni Diamond Platnumz, Marioo pamoja na Rayvanny

Well sisi moja kati ya wale ambao tupo excited na trend hii tuambie wewe umependa trend hii kurudi au lah?

Related posts