FANYA MAAMUZI NI MITINDO IPI UNA TAKA KUIFANYA
1)Chagua ubunifu upi ndio chaguo lako kuu: inahitajika uanzie chini lakini pia unahitaji lengo katika akili yako kujua ni aina ipi ya ubunifu unao taka kuufanya na unao uweza kuufanya maisha yako yote. Je una weza kufanya ubunifu wa asili, wa kisasa, tayari kuvaliwa au nguo za mazoezi? Zote zina faida na hasara ina hitaji kuchukua muda kufikiri kabla ya kuchagua ni nia ipi uifuate. Katika mlolongo huu wa uchaguzi ina bidi utembelee maeneo madogo au vipengele vidogo katika ubunifu hii itafanya akili yako itanuke na kujua kipi hasa unataka kukifanya, utapata mawazo mapya au kuyaongezea yale ya zamani.
- Maeneo ambayo inabidi huya fuatilie ni kama:
- Nguo za wanawake kuvaa mchana/usiku
- Nguo za kiume za kuvaa mchana/usiku
- Nguo za vijana wa kike au wa kiume
- Nguo za michezo/mazoezi
- Nguo za maharusi
- Urembo
- Mavazi ya filamu au matangazo
2)panga baadhi ya vipengele muhimu
2)Panga baadhi ya vipengele muhimu: Nguvu yako ipo upande gani katika kubuni? Labda wewe ni mzuri katika kubuni urembo au mavazi ya michezo. Uwezo wako na mapenzi yako ni mambo muhimu ndani ya nngwe ya kwanza ya ubunifu, na cha pili ni kulinganisha nini una fanya na kipi kilichopo sokoni? Je kilichopo sokoni na chako vina tofauti gani? Na nini wana hitaji wanunuzi?
ITAENDELEA…..
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/timiza-ndoto-yako-ya-kuwa-mbunifu-sehemu-ya-pili/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/timiza-ndoto-yako-ya-kuwa-mbunifu-sehemu-ya-pili/ […]