SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

TIMIZA NDOTO YAKO YA KUWA MBUNIFU
Mitindo

TIMIZA NDOTO YAKO YA KUWA MBUNIFU 

Wengi tuna ndoto za kuwa wabunifu lakini ni wachache wanao pata nafasi ya kutimiza ndoto zao, na hii ina tokana na kukata tamaa, kujiona huna uwezo mkubwa katika kile unacho taka kukifanya au kukosa vitu ambavyo vinakamilisha mtu kuwa mbunifu. Ni rahisi kupata wazo la kubuni lakini ni vigumu kuliweka wazo hilo katika uhalisia, hasa kama huna uwezo wa kushona au kuchora. Ili uwe mbunifu mzuri unahitajika kuwa na muunganiko wa kujua kuchora,kushona na pia ujuzi wa kubuni, maarifa kuhusu sekta ya ubunifu na uvumilivu.

MAWAZO MACHACHE YANAYO WEZA KUKUSAIDIA KUFIKISHA LENGO LAKO:

SEHEMU YA KWANZA: NOA UWEZO WAKO WA UBUNIFU KATIKA MITINDO

KUZA UJUZI WAKO. Wabunifu wote wa Mitindo walio enedela wana safu pana katika ujuzi,kuweza kushona vitambaa vigumu katika hali ngumu itaweza kukufanya uwe katika mbadala bora katika kipindi chote cha kazi yako lakini unahitaji kufanyia kazi ni ujuzi ambao hauji ki rahisi kwa watu wengi.

 • Unatakiwe uwe na ulewa wa Vitambaa jinsi vinavyo kuwa vikivaliwa, Ujuzi wako mkubwa wakujua tabia ya vitambaa ni muhimu sana katika kubuni, pia kujua chanzo cha kupata matirio.
 • Jifunze kutoka kwa wabunifu wakongwe sio kuhusu wao bali kuhusu asili yao,Jua saini yao katika mitindo jifunze wamepitia nini,wapi wamesoma. Kujua hili litakusaidia kupata mwanga na kujifunza kutokana na makosa yao hii itakuwezesha wewe kuwa mbunifu bora Zaidi kwa kua utaweza kuazima na kukuza mawazo yao Zaidi.
 • Fanya utafiti kuhusu nini kipo kwenye kiki kwa wakati huo kupitia vyombo vya habari, kwenda kufanya manunuzi dukani na maonyesho ya biashara.
 • Anza kukuza huu ujuzi katika umri mdogo, andaa muda wa kujishughulisha kufanya bidhaa zako kuwa bora.670px-Become-a-Fashion-Designer-Step-1-Version-2

b)Jifunze Zaidi: kama unaweza itakua vizuri Zaidi kama utapata shahada ama stashahada katika ya Ubunifu wa mitindo, utapata mafunzo mauri ambayo yatakusaidia hasa kwa sababu utakua na watu ambao wana lengo moja na wewe,

 • Pata degree ya mitindo mara nyingi huwa kati ya miaka mitatu hadi minnw, uta jifunza kuchora, rangi na kujifunza wa vitendo. Utajifunza kutoka kwa watu wente ujuzi Zaidi ambao wanaweza kukushauri na kukusaidia mbeleni.
 • Omba kazi ya kujitolea au kushirikiana katika makampuni ya Mitindo hii itakusaidia kukuza uwezo wako na kukupa mwanga wa nini utaenda kukutana nacho katika dunia ya kawaida tofauti na shule.

670px-Become-a-Fashion-Designer-Step-2-Version-2

ITAENDELEA……

Related posts

2 Comments

 1. our website

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/timiza-ndoto-yako-ya-kuwa-mbunifu/ […]

 2. blotters for sale

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/timiza-ndoto-yako-ya-kuwa-mbunifu/ […]

Leave a Reply