SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tips On How To Dress Up For The Weekend
Dondoo

Tips On How To Dress Up For The Weekend 

Siku tano za week wewe ni suits, pencil skirts, official shirts etc yaani unakuwa unavaa official kuna wengine huwa tunasahau hata kuvaa casual ukiwa nyumbani au unataka kutoka weekend unawaza mara tatu tatu nini uvae, maana umeshazoea kuwa official. Hizi siku mbili ni za wewe kujiachia kuwa normal & free from office stress. hizi ni tips chache za nini uvae weekend

Denim/Jeans – hapa ni denim chochote, min skirt, pant, trouser,denim coat etc as long as ni denim ni chaguo zuri kuvaa weekend inakupa ile perfect casual & chic style kizuri kuhusu denim ni unaweza kuvaa na chochote iwe crop tops, shirts, t-shirt au blouse unaweza kupair na heels au flats ukamalizia na simple accessories unapata ile casual yet stylish look.

Oversize Button Down Shirt – hii kila mmoja wetu ana paswa kuwa nayo ni multi purpose inaweza kutumiaka ofisini na casual pia unaweza kuivaa yenyewe peke yake for the weekend lakini pia unaweza kupair na ripped jeans, skin jeans au pants inategemea na chaguo lako

T-shirt na Jeans – you can never go wrong with tshirt na jeans, make it chic kwa kuongezea accessories kama statement chain, earings au rings beba na a clutch umemaliza

Dinner outfit ideas – hahitaji kuwa extra unaweza ku dress up a little bit, two pieces outfit, blazer & jeans etc

Images For The courtes of our own Tanzania Fashionistas @lavidoz, @swalhamsabaha @officialagness1, @officialelizabethmichael @lehautestyles @j.n.mengi

Related posts

5 Comments

 1. helpful site

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tips-on-how-to-dress-up-for-the-weekend/ […]

 2. bar one chocolate bar

  … [Trackback]

  […] There you can find 43195 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tips-on-how-to-dress-up-for-the-weekend/ […]

 3. ไซด์ไลน์

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tips-on-how-to-dress-up-for-the-weekend/ […]

 4. health tests

  … [Trackback]

  […] There you can find 67698 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tips-on-how-to-dress-up-for-the-weekend/ […]

 5. connetix

  … [Trackback]

  […] Here you will find 7593 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tips-on-how-to-dress-up-for-the-weekend/ […]

Leave a Reply