SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

TIPS ZA KUFANYA JEANS ZAKO ZISIPAUKE
Mitindo

TIPS ZA KUFANYA JEANS ZAKO ZISIPAUKE 

Utunzaji wa jeans ama cadet kwa wakak wengi umekuwa ni ngumu na hivyo kupelekea jeans nyingi kupauka  na kuchakaa mapema. Well, leo tunawapa tips mbalimabli mabazo zitasaidia katika utunzaji wajeans yako nakuweza kudumu kwa muda mrefu bila kuapuka ama kuchakaa mapema. Dondoo hizi zahusika pale uanpofua, unapoianika, unaopoinyoosha na hata upangaji wake kabatini.

 • Cha kwanza utakapo kuifua jeans yako hakikisha unaangalia tag iliyopo nyuma ya jeans kiunoni. Hii husaidia kujua masharti yaliyowekewa katika nguo yako juu ya ufuaji, uanikaji na unyooshaji wake

 

 • Katika ufuaji, hakiisha hauifua mara kwa mara na ufuapo, usiipekeche sana maana hii huikunja na kuichakaza kiurahisi. Umalizapo, ianike katika upepo na sio juani iweze kukauka kwa upepo.

 

 • Pia mbadala katika ufuaji, waweza iloweka jeans yako karoka vinegar na kuiacha kwa lisaa limoja. Baaada ya hapa waweza isuuza na kuianika ikaushwe na upepo na sio juani. Kuhusu kuhofia harufu ya vinegar, huisha pindi pale unapoianika hivyo si jamno la kuhofia sana

 • Uianikapo hakikisha imenyooka ili kuepushan juipa mikunjom isiyo ya lazima. Hii itasaidia kufabya jeans yakom idumu kwa muda bila kuchakaa kiurahisi.

 

 • Na unapo inyoosha, yashauriwa utumie moto wa pasi wa wastani na sio mkali sana maana moto mkali sana ndio utaifanya kuchoka mapema.

 

 • Na uivaapo, kuwa mstaarabu nan kutodondoshea vitu maana madoa huchakaza. Ila pindiv upatapo doa baada ya kudodndoshea iwe chakula ama wino waweza futa eneo husika kwa tauko taratibu huku ukitumia vinegar ama baking soda iliyochanganywa na maji ya baridi.

 • Ukiweza kuwa na access ya dry cleaner itapendeza zaidi laikini kwa wengim twajua nguo zetu twafua kwa mkono hivyo kwa kuzingatia tips tajwa hapo juu utaweza fabnya jeans zako kudumu kwa muda

 

 • Pia unadhifu katika kabati lako muhimu. Kama watunza sandukuni basi ikunje vizuri, kama ni kabarini kwa kukunja basi napo kuwa msafi ila kama una hangers, hakikisha umeining’iniza vizueim kabatini

Imeandikwa na @willibard_jr 

Related posts

1 Comment

 1. Double Cup 1.2g Wax Infused Pre-Roll

  … [Trackback]

  […] There you will find 57536 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tips-za-kufanya-jeans-zako-zisipauke/ […]

Comments are closed.