Tunaelekea katika Wema Sepetu Birthday Gala With Movie Premiere, mwenyewe anaiita fashion event of the year ikiwa theme yake ni make a statement tumeona tukupe tips kadhaa za mavazi katika siku hio,
- Make A Statement
Tuanze na Theme,Theme inakwambia ” Make A Statement” hapa unatakiwa kujaribu kuwa wa tofauti na kuvaa kile kitu ambacho tutakiongelea ( kwa mazuri lakini), inaweza ikawa rangi ya vazi, inaweza ikawa design, inaweza kuwa accessories anything ambacho utaona watu watakiongelea then hikohiko ndicho kitafaa. Go bold
- Venue
Venue itakuwa mlimani city na inaonekana itakuwa classy fulani, na kwa sababu wanasema kwamba meza moja ni shilingi elfu 50 inamaanisha haitofanyika movie theater bali ni kwenye hall, so unaweza kuvaa ball gown for days bila kufikiria kumnyima nafasi mwengine,as the theme says make a statement.
- Kataa kuwa wa kawaida (regular )
Kuwa wa tofauti kama kunakitu kilitu sikitisha katika red carpet ya Miss Tanzania ni jinsi watu walivyofanana kama sio mshono basi kitambaa, jamani what happened? event kama harusi yaani ilikuwa na sare, well kwenye hii event unachotakiwa kufanya ni kukataa kuwa regular jaribu kufikiria outside the box how you can make statement in your own way, achana na nguva, achana na hivi vitambaa vinavyo kiki social network kwa sababu ofcourse kila mtu atataka kushona hivyo, achana na mishono ambayo mwingine amesha onekana nayo maana utawekwa kwenye kufananishwa jaribu kwenda beyond na mategemeo ya watu. Ikibidi achana na magauni kabisa give us two pieces, give us power suit, give us that extra jumpsuit, just give us something new.
- Fikiria Kuhusu After Party
Kama hutoenda after party then unaweza kufikira tu kuhusu nini cha kuvaa kwenye event lakini kama unaenda kwenye after party na tulivyo ona itakuwa club una option mbili kuwa na mavazi mawili ya after party na kwenye event yenyewe au ujaribu kufikiria namna ya kuviweka vyote kwa pamoja as we all know huwezi vaa ball gown au mburuzo club right?
Related posts
7 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tips-za-mavazi-katika-wema-sepetu-birthday-gala-with-movie-premiere/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 94982 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tips-za-mavazi-katika-wema-sepetu-birthday-gala-with-movie-premiere/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tips-za-mavazi-katika-wema-sepetu-birthday-gala-with-movie-premiere/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tips-za-mavazi-katika-wema-sepetu-birthday-gala-with-movie-premiere/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 29935 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tips-za-mavazi-katika-wema-sepetu-birthday-gala-with-movie-premiere/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 89865 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tips-za-mavazi-katika-wema-sepetu-birthday-gala-with-movie-premiere/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 63186 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tips-za-mavazi-katika-wema-sepetu-birthday-gala-with-movie-premiere/ […]