Jina lake halisi ni Johary Japhary wengi tumemzoa kama Joujou House Of Style, ni stylist ambae amefanya kazi na watu maarufu wengi. Ukiachana na kuwavalisha watu Joujou ni fashionista herself. Sisi huwa tunapenda style zake zilivyotofauti na wengine na tunacho kipenda zaidi ni namna anavyo mix & match colors.
Hii ilitufanya tumtafute kupata kujua namna ambavyo anaweza kupangilia rangi zaidi ya tatu katika outfit yake
“It’s hard to put it into words because it is more of an art than it is science but let me try 😁 I usually pick one solid color that I want to feature, say green, red, blue or purple and that dominates the my outfit but then I can decide to add a touch another complimentary colour like white, light pink, yellow that goes with the solid color I choose. So, the key it to pick the solid colour first then the rest follows…but I also normally not mix more than two colours to avoid clashing”
Well there you have it, kwa wale ambao mlikuwa mnapenda kuvaa colors na hamjui muanzie wapi ni matumaini yetu mtakuwa mmepata pa kuanzia.
Related posts
7 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tips-za-namna-ya-kupangilia-rangi-kutoka-kwa-joujou-house-of-style/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tips-za-namna-ya-kupangilia-rangi-kutoka-kwa-joujou-house-of-style/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tips-za-namna-ya-kupangilia-rangi-kutoka-kwa-joujou-house-of-style/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tips-za-namna-ya-kupangilia-rangi-kutoka-kwa-joujou-house-of-style/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tips-za-namna-ya-kupangilia-rangi-kutoka-kwa-joujou-house-of-style/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tips-za-namna-ya-kupangilia-rangi-kutoka-kwa-joujou-house-of-style/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tips-za-namna-ya-kupangilia-rangi-kutoka-kwa-joujou-house-of-style/ […]