SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tiwa Savage Akiwa Amevaa Fendi Multicolor Slingbacks Zenye Thamani Ya 2,195,727.57
Mitindo

Tiwa Savage Akiwa Amevaa Fendi Multicolor Slingbacks Zenye Thamani Ya 2,195,727.57 

Tiwa Savage ana julikana na style zake, huyu dada anapenda sana kuvaa designer staffs japo tungependa akijikita zaidi kuvaa designer kutoka Nigeria lakini si mbaya pia anavyo vaa vya nje well tumesha muona akiwa amevaa wabunifu wakubwa mbalimbali wakiwepo Gucci, Versace na wengine wengi leo tumemuona kaingia katika team Fendi ambapo alivaa full outfit kutoka kwa mbunifu huyo including viatu.

Viatu vilituvutia ikabidi tuvitafute vinauzwa Euro 790 ambapo ni sawa na tzs  2,195,727.57/-  katika website ya Fendi na vinaitwa “Multicolour technical mesh slingbacks”

 

Tiwa alivaa viatu hivi in full fendi outfit ambapo alivaa a fendi top, black leather pants na Fendi leggins

Kama umevipenda viatu vya Tiwa unaweza kuvishop hapa fendi.com

 

Related posts

1 Comment

  1. buy 4-aco-dmt online free,

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tiwa-savage-akiwa-amevaa-fendi-multicolor-slingbacks-zenye-thamani-ya-2195727-57/ […]

Comments are closed.