SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tiwa Savage, Davido And Mr Eazi On Billboard Magazine Cover
Mitindo

Tiwa Savage, Davido And Mr Eazi On Billboard Magazine Cover 

Wanamuziki kutona Nchini Nigeria mwanadada Tiwa Savage, Davido na Mr. Eazi wameonekana katika cover ya gazeti kubwa la muziki liitwalo Billboard. Katika cover hii la Africa Now May Issue wanamuziki hawa wameongelea kuhusu safari zao katika music industry.

Well kwetu sisi tumeangalia zaidi fashion, na tunasema hongera kwa Tiwa,Davido na Mr Eazi pamoja na team zao kwa kuona umuhimu wa kuvaa mavazi kutoka kwa wavunifu kutoka Africa. Ingetushangaza kama cover imeitwa Africa now halafu tukaona wamevaa Gucci, Prada, Fendi au kutoka kwa mbunifu yoyote ambae sio mu-Africa.

Tiwa alivaa hili gauni kutoka kwa mbunifu Lisa Folawiyo, amesema makeup amefanya mwenyewe na amekuwa styled na Styling by Daniel Obasi

Davido amevalia matching Orange Culture jacket na pants. Tiwa Savage amevalia Lisa Folawiyo blazer na Lace kutoka kwa Cataleya jewelry, Ukiangalia haya mavazi moja kwa moja utajua hivi ni vitenge

Mr Eazi amevalia Carlota Barrera suit na tank top nyeue kwa ndani, we call it simplicity at it best


Afromates sisi tumependa hii cover tumependa namna ambavyo ipo colorful na African, tumependa jinsi ambavyo Tiwa amechagua kutumia rasta, Davido akiwa na clean hair na Mr Eazi akiwa natural na dread rocks zake. Je wewe umependa nini?

Related posts