Its September na ikifika September ina maanisha kitu kimoja, Fashion Week. Well New York Fashion Week imeanza toka Ijumaa ya tarehe 6, tumeona watu maarufu mbalimbali wakiwa wame-attend na hawa ni wachache kutoka Africa ambao tumeona wakiwepo kutuwakilisha.
Tiwa Savage is bringing fire on New York Fashion Week streets, sis have been giving us lewks like never before, tunachopenda kutoka katika mionekane yake ni kwamba she is daring to make them look fashion week worthy.


Our girl Flaviana Matata na yeye hajatuacha nyuma katika kutuwakilisha, amekuwa aki attend show mbalimbali za wabunifu katika New York Fashion Week & give us looks, ambayo tumependa sana ni hii floral suit by Etro.

All the way from Kenya, Victoria Kimani na yeye ame-attend New York Fashion Week, well katika outfit zote tulizo kiona kutoka Kimani hii moja ndiyo ambayo tumeosha she actually gave us something to talk about, the latex boddy hugging dress with statement sleeves is everything

Mr. Classic man Jidenna, is serving us fashion lewks, he gave us henna, the extra oversized outfits ambazo hatuwahi ku-imagine atavaa, lets say he is off suits & on fire with his outfits, Chief swagging in denim on denim fit.

Mwanamitindo wa kimataifa anayetokea Nchini Tanzania, Herieth Paul yeye ametuwakilisha as a model akiwa ametembea katika runway ya brand ya Ralph Lauren Fall/Winter 2019, love this suit on her.

tunaweza kusema we are pleased with what we see.
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…