Moja kati ya collection ambazo zilituvutia mwaka huu katika Paris Fashion Week Haute Couture SS19, ni hii collection kutoka katika brand ya Balmain. Imeonekana si sisi tu ambao tumevutiwa na ubunifu katika collection hii bali hata baadhi ya designer nao wamevutiwa na ubunifu katika collection hizi na kujaribu kuzi-recreate.
Moja ya mtindo ambao tuliona uliwabamba wengi hata Queen Bey nae alionekana kuvutiwa nayo ni hii Spring/Sunmer 2020 couture dress, ambayo alivaa katika ROc Nation Brunch 2019, the statement shoulder & pastel colors are everything
Wakati kwa Africa tumemuona mwanadada Zynnell Lydia Zuh Kutoka Ghana akiwa amevalia top kutoka kwa mbunifu Sima Brew inayoendana na mtindo wa gauni kutoka kwa Balmain, Zynnell Lydia Zuh alivaa top hii wakati ameenda kuhudhuria Katika Vodafone Ghana Music Awards
Well tuambie ni sawa kwa mbunifu kutumia ubunifu wa mbunifu mwingine?
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…