Siku chache zilizo pita nyuma Nigeria kulikua na tamasha la Lagos Fashion & Design Week ni kama Swahili Fashion Week, watu maarufu wengi wali attend kama Linda Ikeji na wengine wengi lakini kwetu huyu Fashion Blogger Lydia Ekeng ndiye aliye tukosha na kwenda kulala na kuamka tukiwa tunafikiri kuhusu huu mtoko wake.
alivaa hii Tuxedo Dress mbele nyuma nyuma mbele, ni kitu ambacho ni creative lakini pia sio mara ya kwanza kukiona machoni mwetu
Amevaa a orange tuxedo dress ambayo ndio aliigeuza mbele nyuma nyuma mbele, akavaa na granny pumps na pink clutch
sio our favorite look lakini ni jinsi alivyo na confidence zote ndicho kilicho tuvutia kwake, well tulisha iona hii kwa Celine Dion ni marudio
Je style hii inarudi tena na kama ikirudi would you rock it?
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/todays-muse-nigerian-fashion-blogger-lydia-ekeng/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/todays-muse-nigerian-fashion-blogger-lydia-ekeng/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/todays-muse-nigerian-fashion-blogger-lydia-ekeng/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 83528 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/todays-muse-nigerian-fashion-blogger-lydia-ekeng/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/todays-muse-nigerian-fashion-blogger-lydia-ekeng/ […]