SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Toke Makinwa Alivyotumia Scarf Ku-Upgrade Outfit Zake
Mitindo

Toke Makinwa Alivyotumia Scarf Ku-Upgrade Outfit Zake 

Mwanadada Toke Makinwa ni Nigerian radio personality, television host, vlogger, lifestyle entrepreneur na author, Ukiachana na hivyovyote Toke ni slayer. Mara zote ukimuona na outfit zake hayupo boring anajua namna ya kujipangilia.

kwa sasa amezindua bidhaa yake ya scarf’s na amekuwa aki-post mavazi yake akiwa amevalia na scarf yake na tukaona tuwaletee namna ambavyo na wewe unaweza kuongezea scarf yako katika outfit yako na ukapendeza ( Sio tu kuvaa kama kiremba)

 1. Upgrade your handbag

Hii trick fashionista wengi wanaitumia, linapokuja swala la kuweka mionekano yao kuwa ya tofauti wanapobeba pochi wanazungushia scarf kwenye mkono wa pochi. Kuna namna mbalimbali unaweza kuzungushia kulingana na wewe na matakwa yako. Hapa Toke amezungushia mkono mzima huku sehemu kubwa ikiwa kaachia imening’inia and this is how ametoa a all white outfit with yellow touch’s from regular to bomb

2. Vaa shingoni

Sometimes unahitaji kupumzika na all the jewelries, kuweka utofauti unaweza kutumia scarf kuvaa shingoni kama cheni au tunaweza kusema kama tai, again unaweza kuifunga namna mbalimbali, Toke yeye aliamua kuinin’giniza tu in a simple way, tumependa namna amematch rangi za mavazi yake na scarf imefanya the outfit iwe putted together

3. Kichwani

Hi ni namna ambayo wengi wetu tunajua kufunga hapa Toke ametuonyesha namna 3 ambazo unaweza kuivaa scarf yako kichwani, kuna chic, casual na extra

Well #afromates next time unataka au unahisi kunakitu kime-miss kwenye muonekano wako, unaweza kuu-upgrade kwa kutumia scarf. Let us know style ipi imekupendeza zaidi kati ya hizo ambazo toke amezifanya?

Related posts

3 Comments

 1. toronto weed delivery

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/toke-makinwa-alivyotumia-scarf-ku-upgrade-outfit-zake/ […]

 2. brainsclub

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/toke-makinwa-alivyotumia-scarf-ku-upgrade-outfit-zake/ […]

 3. buying magic mushrooms online usa‚Äč

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/toke-makinwa-alivyotumia-scarf-ku-upgrade-outfit-zake/ […]

Comments are closed.