SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Toke Makinwa Amewekeza M 3,153,423/- Katika Prada Flame Heels
Mitindo

Toke Makinwa Amewekeza M 3,153,423/- Katika Prada Flame Heels 

Katika fashionista’s kumi kutoka Africa basi huwezi kuacha kutaja jina la Toke Makinwa, yeye ni media personality kutoka Nigeria ambae anaipeperusha bendera ya Nchi hio vyema kabisa katika mitindo. Toke ni moja ya wale fashionista’s ambao they usual don’t do fake zone. Ni moja kati ya fashionista’s wao own designer staff’s nyingi zikiwa za aina tofauti tofauti.

 

Leo tunaongelea kuhusu viatu hivi vya prada ambavyo anavimiliki pair tatu na pair moja inauzwa USD 1,365/- sawa na shilingi 3,135,423 kwa moja na shilingi 9,460,269 kwa pair zote tatu “talking about investments”

Anamiliki pair hizi za viatu zikiwa na rangi ya pink ambayo tumemuona akiwa amevalia na shirt dress nyeupe, akiwa amemalizia handbag ambayo ni bidhaa yake ya TM (Toke Makinwa Handbag) amemalizia muonekano wake na saa ya pink ame match na viatu na gold accessories

Hapa akiwa amevaa pair nyingine ya viatu hivi yenye rangi nyeupe na pink, hapa ameivalia na skin jeans na crop top nyeupe huku akiwa na gold accessories

Na hapa akiwa amevalia pair hii ya viatu ya rangi ya gold na nyeusi, amevalia na hii off shoulder top, skin jeans akiwa amemalizia na small handbag ya brown na two tones shades.

Well Afromates tuambie je hivi viatu vina worth such an investment?

 

Related posts