Ukisikia rich auntie vibes ndiyo hii sasa. Wakati wengi wetu tunasema hatuwezi kununua leggins za bei ghali well Toke on the other side is saying why not?

Toke alipost hizi picha katika ukurasa wake wa Instagram akiwa amevalia leggings za kampuni ya Fendi ambazo zina thamani ya USD 1,100 ambayo ina thamani ya Tsh 2,541,000/-

Lakini sio tu leggings ambazo zilikuwa na thamani bali alibeba Jacquemus bag  yenye thamani ya $510 sawa na Tsh 1,178,100/ amemalizia na Valentino belt  ambayo inauzwa $995 sawa na Tsh 2,298,450/-

Expensive or not, Toke Makinwa is always looking gorgeous and last night was no different.