SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

TOKELEZEA NA JEANS YA MAMA WEEKEND HII
Mitindo

TOKELEZEA NA JEANS YA MAMA WEEKEND HII 

Inawezekana huna cha kuvaa au ni mpenzi  wa kuiba nguo za ndugu zako na kuzivaa, yes kuna nguo nyingine za kuvaa kutoka kwao ukiachana na madira ya dada na t-shirt za kaka unaweza pia kuiba jeans ya mama ukavaa na kupendeza zaidi. Asilimia kubwa ya wa mama wana zile jeans suruali iwe za miaka mingi au kama mama ni wa kisasa basi lazima ata kuwa nazo japo havai mara kwa mara, unacho takiwa kufanya ni kuiba au kumuomba ukapunguza baadhi ya vitu kama kiuno na hips kama mama kakuzidi umbo na hivi ndivyo ambavyo una weza ku istyle ukatokelezea vibaya mno

nyingi huwa ni high waist sababu wamama huvalia nguo tumboni

Emily

unaweza ukavaa na crop top ukatupia na kijiblazer na viatu vyako middle heels

Lauren1

viatu flat pamoja na body suit pia ina pendeza kwa mitoko ya mchana na marafikiTatiana1

hii unaweza ukatoka kwenda movies usiku uka match viatu na shirt Xenia

hii inaitwa muda wowote saa yoyote upo tayari kutoka yaani ni vazi ambalo halichagui muda.

Related posts

4 Comments

 1. สล็อตวอเลท ไม่มีขั้นต่ำ

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tokelezea-na-jeans-ya-mama-weekend-hii/ […]

 2. ¢

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tokelezea-na-jeans-ya-mama-weekend-hii/ […]

 3. visit our website

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tokelezea-na-jeans-ya-mama-weekend-hii/ […]

 4. 코인커뮤니티

  … [Trackback]

  […] There you will find 22448 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tokelezea-na-jeans-ya-mama-weekend-hii/ […]

Leave a Reply