SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tom Ford Embellished metallic leather and PVC slingback pumps Worn By Beyonce
Mitindo

Tom Ford Embellished metallic leather and PVC slingback pumps Worn By Beyonce 

Beyonce au Mrs Carter amepost picha mpya kwenye website yake na kwenye Instagram yake, ambapo muonekano wake huu mpya ni wa tofauti kidogo amevaa less makorokoro she actual looked like a normal person na sio vile ambavyo tumemzoea kuwa extra na mionekano yake. Kwetu kitu cha kwanza tulicho ki-spot kutoka katika muonekano wake huu mpya ni hizi clear shoes, tumeona vimefanya muonekano uzidi kunoga zaidi na kuonekana wa tofauti, tumependa kwamba stylist wake amechagua hivi viatu na sio pumps au open heels.

As tuliona the naked dress na see through shoes trend tunadhani hivi alivyo vaa Beyonce ni vya tofauti kidogo, viatu hivi vina Sparkly Swarovski Crystals touch’s na brand yake ni Tom Ford vinauzwa $ 1,250 sawa na kama 2,750,000/- za ki-Tanzania.

Beyonce amevaa viatu hivi mara ya pili sasa ambapo mara ya kwanza alivaa na all black outfit, bandage skirt nyeusi, lather jacket nyeusi na hizi sandals huku akimalizia muonekano wake na min pink bag

wakati kwa sasa amevaa viatu hivi na  Temperley London Starling Dress ($1,195.00), off white handbag na ame accessories na statement bangles well tunadhani hii mara ya pili Beyonce ametendea haki hivi viatu amevipa the classy look they deserve.

Vilikuwa vinakuja in 3 colors ambazo ni pink, white na hivi black lakini imeonekana black na pink vimeisha na vimebaki vyeupe tupu wunaweza ku shop hapa

 

 

Related posts

3 Comments

 1. click this site

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tom-ford-embellished-metallic-leather-and-pvc-slingback-pumps-worn-by-beyonce/ […]

 2. psilocybin mushrooms for sale oregon​

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tom-ford-embellished-metallic-leather-and-pvc-slingback-pumps-worn-by-beyonce/ […]

 3. Dr Stacy Pineles and Dave T Bolno

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tom-ford-embellished-metallic-leather-and-pvc-slingback-pumps-worn-by-beyonce/ […]

Comments are closed.