SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tom Ford’s Fall/Winter 18 Men’s Wear Collection
Mitindo

Tom Ford’s Fall/Winter 18 Men’s Wear Collection 

Mbunifu Tom Ford ameshow case collection yake ya mavazi katika run way ya New York Fashion Week 2018, katika collection hii Tom Ford ametumia fabrics kama snake skin prints na silk, tumeipenda hii collection as ime gusa kila kitu ambacho wanaume wanaweza kuvaa lakini hakukuwa na design nyingi za mavazi ya fabric hizi.

Tukianza na snake skin print ni mara chache kuona wanaume wamevaa prints mara nyingi wanapenda kuvaa plain,plaid au stripes fabric yeye kuongeza na kuonyesha namna gani mwanaume anaweza kuvaa hizi print bila kuonekana vibaya imetuvutia sana, ametengeneza shirts, suruali, tai na viatu.

The suits (silk) – ukiongelea upande wa suit zilikua za silk na rangi ni neutral color, japo kulikua na pink na yellow ndani yake, we love the shine coats katika upande wa wanaume ni rare sana kukuta wamebuniwa hizi sequin coat’s we can say Tom Ford came for all that men didn’t have.

Lakini pia plaids na stripes suits hazikuachwa nyuma

Tom Ford alionyesha pia nguo za ndani za silk lakini pia kulikua na accessories kama glasses na saa.

Related posts

3 Comments

 1. voir le site sur les répéteur wifi

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tom-fords-fall-winter-18-mens-wear-collection/ […]

 2. illuminati join

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tom-fords-fall-winter-18-mens-wear-collection/ […]

 3. useful reference

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tom-fords-fall-winter-18-mens-wear-collection/ […]

Comments are closed.