Met Gala ni hafla inayofanyika kila mwaka, hafla hii uhusiana na harambee ambayo zinakusanywa fedha kwa ajili ya kusaidia makumbusho ya Metropolitan Arts costume Institute huko New York. Kila mwaka kunakuwa na Theme ya mavazi, mwaka jana ilikuwa Heavenly Body na Rihanna took the best dressed award, Mwaka huu theme ilikuwa Camp: Note Of Fashion. Andrew Bolton curator in charge of the Costume Institute aliezea kuhusu maana ya theme hii ambapo imetokana na essay iliyoandikwa na mwanadada Susan Sontag’s mwaka 1964 essay Notes on “Camp” na maana ya Camp ni love of the unnatural: of artifice and exaggeration… style at the expense of content… the triumph of the epicene style”
Yaani ni mapenzi kwa vitu visivyo vya asili, ni sanaa na kuwa zaidi (over statement) , well ikiwa tumeelewa zaidi kuhusu theme twende kuona Top 10 yetu ya waliotendea haki Theme hii
Lady Gaga in 4 in 1 Brandon Maxwell Dress
Lady Gaga ali-outdid herself, tumemzoea akiwa na extra styles ambapo kila mtu alijua Gaga atakuwa Crazy kama kawaida yake. Lakini alituonyesha yeye ni zaidi ya tulivyomzea kuwa kuvaa nguo nne kwenye nguo moja na kuzibadilisha katika red carpet hio, if that not “exaggeration” then we dont know what is.
Cardi B In Thom Browne Bloody Dress
Cardi B team & stylist real works harder, she is slaying the carpets like nobody’s business ikiwa bado hatuja get over the grammy’s dress. Kwenye Met Gala amevaa hii red dress kutoka kwa mbunifu Thom Browne ambapo inasemekana imechukua zaidi ya masaa 2,000 na watu 35 kutengeneza gauni hili, gauni hili limetengenezwa na 44-carat Stefere ruby nipples, and 30,000 burned and dyed coque feathers, well Kudos to Cardi na effort zimeonekana she owned the Met
Janell Monae in Christian Siriano
Janell Monae na stylist wake Alexandra Mandelkorn, did gave us extra, Janell alivaa Christian Sirano dress ambapo Ispiration ya hii gauni ilitoka kwa Picasso na Dali, Akiwa amemalizia gauni hii na blinking eye ” Yas ilo jicho lina konyeza” #Extraaaa, amemalizia muonekano wake na kofia nyingi kichwani, We love the extraness.
Katty Perry In Chandelier Dress by Moschino’s Jeremy Scott
Theme ilikuwa Camp the unnatural of artifice and exaggeration, Katty Perry na Jeremy Scott did gave us the unnatural na hii Chandelier dress, tulivyomuona tukakumbuka ule wimbo wa sia – chandelier. Love it.
Zendaya In Tommy Hilfiger dress
Zendaya had a Cinderella moment, ambapo wakati anaingia alikuwa amevaa tu crystal gray dress na baadae fairy godfather ali transform gauni ile kuwa bold blue, you have to see the video to understand this, the nailed the carpet.
Jared Leto In Gucci
Jared Leto yeye alikuja akiwa ame drip in Gucci embellished red gown huku akiwa amebeba kichwa kilicho fanana na yeye , katika Millan Fashion week mwaka jana Gucci wali debut collection yao wakiwa wameweka run way kwa mfano wa operation room huku models wakiwa wanapita kwenye run way hio wakiwa wamebeba vitu mbalimbali vikiwepo vichwa vinavyo fanana na wao, Well Jared did that on the Met gala 2019
Gucci & Moschino Waleta Maajabu Katika Milan Fashion Week
Ezra Miller
Ezra Miller yeye alichagua ku-make a unnatural art kwa kutumia makeup ambapo, Miller aliamua kutengeneza multiple eyes on his face na kusababusha usielewe macho yake binafsi yako wapi yet unapenda unacho kiona, creative right? and on the Theme
Lupita Nyongo Dripping In Versace and natural hair
Count on Lupita to serve you natural hair anywhere, Lupita amekuwa moja kati ya watu maarufu wanaopenda nywele zao za asili, yeye na hairstylist Vernon François waliamua kutumia hii hairstyle, love it.
Ciara In Dundas Dress
Inspiration yake ilitoka kwa mwanamuziki Diana Ross, we love the big hair & that sexy green side cut out dress.
Emily Ratajkowski In Dundas
Showed us you can be unnatural yet cute & sexy
well tuambie wewe umemuona nani amependeza zaidi?
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/top-10-best-dressed-at-the-met-gala-2019/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 17720 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/top-10-best-dressed-at-the-met-gala-2019/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/top-10-best-dressed-at-the-met-gala-2019/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/top-10-best-dressed-at-the-met-gala-2019/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/top-10-best-dressed-at-the-met-gala-2019/ […]