Who be us not to talk about AMVCA 2022, Nigerian’s gets it tunachopenda kuhusu wao hawana ile tu, kwamba event yenyewe si ya tuzo za mziki tu au kuwa na mazoea na event. Ni kama event imeanzishwa mwaka huu namna watu walivyo show up and kushow out, kila mtu alikuwa kivyake different styles from hair to dresses. Tanzanian celebrities tunaomba mchukue notice hapa anyways lets get back to our Top 10 looks from AMVCA 2022.
Osas Ighodaro & her team took their time to marinate and cook this look with love, Sis won
Dress: veekeejames_official, Designed by: veekee_james,Photography: officialphotofreak

Nancy.E.Isime she never dissappoints, she ate per usual coming through with pearls and lace.
Photography: ngozieme, Styling: medlinboss,Hair: kayzplace,Makeup: tmtbylayinka, Outfit: valdrinsahitiofficial

Eriica Ngozi Nlewedim this dress in an art hands down.
Hair: lamishair, Dress: slubneatelierororpatrycjakujaw kujawa.patrycja_designer, Makeup: tennycoco, Photography: felixcrown

Tacha Akide
Dress: xtrabrideslagos, Styling: medlinboss, Photography:photokulture Makeup: tolufelix_mua

Nonye Udeogu ,Outfit: mofari__, Makeup: oshe_mua,Photography: thetobiloke

Adesua Etomi , t.alamodebeauty X matopeda.atelier X inudidit1 X ahamibeleme

berbiedoll
Makeup makeupkwin,Accessories portableaccessoriess, Waist berbiebeauty_
,Hair hair_byjennysglow, Hair styled by touchofibee, Dress veekeejames_official
Photography officialphotofreak

Asogwa Alexandra
Outfit: idiolnupo, Photography: tope_horpload

Sika Osei
Photography: the.alfe, Styling: hyperfashun’Dress: idiolnupo, Makeup: @heavenessencebeauty
Hair: ani_nessa tnu_saloon

Bonang Matheba, Styling: dahmola, Dress: sheyeoladejo, Jewellery: jewellryaffairMakeup: joycejacob_jjb, Hair: callixng, Photography: chuchuojekwe

Related posts
HOT TOPICS
As long as hakuna Aya,Mstari Au Kifungu Kinachosema “Kuto Kuoga Ni Dhambi Au Kosa Kisheria” Then Perfume na Bodyspray Tu Zinatosha Msimu Huu
FollowDown To Very Little Details, Read More Here 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾 https://t.co/IeYufSGMgy https://t.co/IeYufSGMgy
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…