SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

TOP 10 TANZANIA WOMEN SLAYERS 2016
Mitindo

TOP 10 TANZANIA WOMEN SLAYERS 2016 

Tumesha ona wanaume walio pendeza zaidi mwaka huu, walio haribu na wanawake walio haribu leo tuna waletea wale walio tisha zaidi katika swala zima la mitindo mwaka huu. we love us some of these women

1) Elizabeth Micheal, Yah huyu ame slay the entire year na haja kosea hata siku moja, kuanzia mpangilio wa nguo, viatu, make up, nywele Lulu Is A 2016 Slayer Diva. Tunataka kuona mengine mengi 2017 mama keep on slaying

14561921_1086508748114876_9058134873927057408_n 15057221_200757397037748_2038266271794987008_n

2) Jokate Mwegelo, Jokate ame ufanya huu mwaka uwe very interesting na mitindo yake ya kipekee. Mara nguo zilizo buniwa na rasta mara nyuzi ili mradi tu katupa radha tofauti na kujaribu kuwa wa tofauti una weza kumuita Tanzanian own Rihanna she is a dare and we love her for that. Keep Doing what you doing JOJO

15101574_1695147467480080_6060677361257414656_n 15275481_741632149332720_5592794924090130432_n

3) Hamisa Mobetto, Mama na mtoto wa mama mmoja hajawa nyuma kutuma some pieces of her. Missa ame pendeza mwaka huu wote.. ame kuwa akiongelewa sana na mitindo yake na style zake kila alipo enda alikuwa ame pendeza na kupatia kuvaa kutokana na alipo kama casual casual kama corporate au chic pia huwa ana vaa vitenge & trust us vina mtoa kupita maelezo. & she is our body goals

14063279_1031386826981507_1922126801_n 14533561_1248131895265591_5708302065151770624_n

4) Lavidoz ni fashion blogger na stylist, nae pia ame tisha mwaka huu na mitindo yake pia alikuwa featured na blog kubwa ya mitindo huko marekani iitwayo Fashion Bomb Blog ame tisha sana mwaka huu neat, chic & classy

13556971_1171037102940818_1788334155_n 15625148_1198481823540028_2867705726023761920_n

5) Swalha Msabaha, swalha yeye ni stylist tume mpenda mwaka huu alikua chic,classy na corporate pia ana penda neutral color kama wewe si mpenzi wa rangi za ajabu ajabu Swalha ndio jibu lako

13118301_1634750663430197_1093803208_n 13392620_974543842666805_459180852_n

6) J.N.Mengi Jacqueline Ntuyabaliwe ame u own huu mwaka, mama wa mapacha ame ufanyika mwaka 2016 justice ametoka nje ya box & we love her for that, kuanzia nywele, bags, viatu etc tumependa pia haja jiweka kimama sana wala ki sichana sana suits her right

14334255_1802475816695636_6249890045243686912_n 14592187_1486555511374063_6713067955623559168_n

7)Mwamvita Makamba, huyu dada huu mwaka ame slay ajabu yaani kuanzia miguuni mpaka kichwani we loved us some mwamvita 2016

mwamvi mwamvita

8) Genevieve huyu alikuwa miss Tanzania 2010 ame pata namba ya ku slayer mwaka huu

gene unnamed

9)Millen Magesse, Millen she doesn’t play when it comes to fashion na ku pull out a outfit, Millen has it all ana vaa kila kitu jeans, mini skirt,short pants yaani yeye ni fashion lover hachagui kama wewe ni chochote twende mtafute dada Millen Maggese Instagram ili upate ideas na tips

13696411_308949282786349_1573716871_n 13725765_1155297487874162_1899037135_n

10) Faraja Nyarandu, She always keep it simple yet stylish kama wewe ni mdada wa corporate na una taka kupata some tips jinsi ya kuwa stylish nenda kwa Faraja she got it all. Faraja ana vaa kidada yani iwe casual, party au ofisini utampenda

15624724_113900629108251_5721317302117335040_n faraja-nyalandu-3

 

 

Related posts