Coke Studio Africa 2017 ilikua moto, kuanzia muziki, vionjo vya ku dance na mavazi ilikua balaa, wote walitisha lakini kuna yale ambayo yalitisha zaidi yaani tuliyapenda zaidi hatuto panga kwa nafasi lakini haya yalituvutia zaidi
African Dress couldn’t get any better, Chidinma alivaa hii gauni wakati ana perfome cover ya sauti sol, alivaa mix ya the African prints kitenge, teal coloured sequins combined dress, the head wrap plus matching teal earrings vilimfanya apendeze sana akituinspire kuwa more creative when matching prints with other materials kama sequin
Halafu tuna Msanii Laura Reg toka Mauritius, her floral dress was perfect, simple but elegant. Tumependa jinsi ambavyo alikua styled colorful na colors zika compliment her skin tone made the whole outfit be WOW
Pia tuna Ali Kiba na Patoranking, the color coordination was just too perfect, Tumependa Jinsi muingiliano wa rangi ulivyo kuwa kati ya Alikiba na Patoranking, Alikiba alivaa yellow, red and white sweater huku Patoranking akivalia a yellow sweater t-shirt and wote chini wakiwa in black tight jeans. Pia our eyes went for the shoes as Alikiba had some white sneakers and Patoranking rocking some macaroon coloured Chelsea boots.
Nyingine ni ya rayvanny na Dji Tafinha waliweza kucoordinate giving us blue vibes, Rayvanny’s royal blue blazer and matching hat paired with a white tee na jeans was stage smart worthy huku Dji Tafinha accessorized his look with very cool suspenders looking all fresh with his colorful tshirt.
Last but not list kutoka Kenya Sauti Sol walituvutia sana na hii color full outfit, nyeupe ilitawala white tees na tight jeans ambazo zilikuwa paired na red, yellow shades na white coloured jackets.
Hii ni top 5 yetu tuambie wewe ulivutiwa na ipi zaidi? unaweza kuiangalia show nzima kupitia youtube
https://www.youtube.com/watch?v=2GifeMu7INY
Related posts
8 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/top-5-fashionable-outfit-we-spotted-on-coke-studio-africa-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/top-5-fashionable-outfit-we-spotted-on-coke-studio-africa-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/top-5-fashionable-outfit-we-spotted-on-coke-studio-africa-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/top-5-fashionable-outfit-we-spotted-on-coke-studio-africa-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/top-5-fashionable-outfit-we-spotted-on-coke-studio-africa-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 45866 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/top-5-fashionable-outfit-we-spotted-on-coke-studio-africa-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/top-5-fashionable-outfit-we-spotted-on-coke-studio-africa-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/top-5-fashionable-outfit-we-spotted-on-coke-studio-africa-2017/ […]