When we thought its over kumbe its just getting started, siki chache zilizo pita tuliandikia kuhusu fashion za jeans zilizo tuacha mdomo wazi well top shop wamekuja na hii nyingine ambayo ni suruali ya plastic wenyewe wameeita jeans ila is it real a jeans? maana ni plastic tupu au by jeans walimaanisha suruali may be.

Suruali hii inauzwa Eur 55 sawa na tzs 134089.74, ni nzuri lakini kwa Nchi zenye baridi kwa hapa kwetu una weza kuyeyuka (plastic & jua) haviendani well wengine wana sema its all about creativeness na wengine wana sema ni trash je wewe msomaji wetu una semaje?

Tuambie kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

au email us – afroswagga69@gmail.com