Corset ni mikanda ambayo huvaliwa kwa ndani ya nguo kwa ajili ya kupunguza tumbo, mwaka jana ili trend sana watu kama kim kardashian, khloe na wengine wengi walionekana kuivaa ili kuweka shape zao sawa lakini mwaka huu zime onekana kuja kivingine ambapo watu wana vaa nje ya nguo japo mtindo huu si mgeni maana tulisha uona miaka kadhaa nyuma zikiwa zina valiwa hasa katika magauni au suruali
mwaka huu ime kua tofauti kidogo kutokana na mtindo huu wa corset kuvaliwa na nguo ya aina yoyote ambapo rihanna alionekana akiwa amevalia gauni na corset ya purple
Kim alivaa na kiji sketi kifupi cha rangi ya nude
Gigi Hadid
Laura Govan ali istyle corset yake na kijikoti akiwa amevalia na suruali mcharuko
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/trend-alert-kuvaa-corset-kama-vazi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/trend-alert-kuvaa-corset-kama-vazi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/trend-alert-kuvaa-corset-kama-vazi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/trend-alert-kuvaa-corset-kama-vazi/ […]