Kinacho kiki mtaani sasa hivi ni mavazi ya kata mikono tume waona watu wengi tunao waaminia katika mitindo Tanzania wakiwa wame vaa mavazi haya, watu kama Linnah, Hamissa Mobetto, Pv Cambo pamoja na Kim nana wameonekana wakivutiwa zaidi na mavazi ya kata mkono
Lakini wote wakiwa wame valia body corn skirt na Frill Top iko kikatushangaza kwanini wavae nguo aina moja inayo fanana kila kitu kasoro rangi, ikabidi tutafute fashionista ambae ataweza kutuonyesha jinsi ya kuvaa staili hii kwa namna nyingi zaidi ana itwa stylepantry mama wa miaka 39 mwenye watoto watatu ambae ukimuona huwezi kudhania kwa jinsi ambavyo ana jiweka pia umbo lake, ni fashion blogger pia, tuangalie ni namna gani style pantry ame style mavazi ya kata mikono,
Hapa akiwa katika Casual maxi Dress akiwa ame ongezea na urembo kidogo kama mawani na hereni
Hapa akiwa katika Red Carpet amevaa gauni la kata mikono akaongezea na ki mkoba, statement hereni pamoja na belt
Off Shoulder inaweza ika valiwa na suruali za bwanga pia kama ambavyo style pantry ame amevaa hapo chini, ni namna tu ya kujua kuchanganya rangi unaweza kuvaa kwenye mitoko ya kawaida mchana.
Off shoulder na Skin Jeans
Mid Dress Off shoulder unaweza kuvaa hivi ukiwa unaenda katika mitoko ya usiku, au kula chakula cha usiku pia hata kwenye mikutano ya kikazi ya kawaida,pia una weza kuongezea mikufu ili kuto ku expose sana shingo yako.
off shoulder na fringe skirt hapa tunaita trend over trend
Off shoulder Jumpusuits
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/trend-kata-mikono-off-shoulders/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/trend-kata-mikono-off-shoulders/ […]