SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Trend Talk Tuesday – Full Kitenge Outfit For Men
Afro Fashion

Trend Talk Tuesday – Full Kitenge Outfit For Men 

Kitenge kinaonekana kukua siku hadi siku tumeona mbunifu mkubwa Stella McCartney akitumia print za kitenge katika collection yake mpya, kwetu Africa tumeshazoea kuona kitenge kwenye majukwaa ya mitindo ni print kubwa sana kwetu (kitenge na khanga), Kwa sasa hivi kinaonekana kuanza kutambulika Duniani na pia kimeonekana kutokuchukuliwa kawaida, kwa maana zamani watu maarufu Africa kitenge ilikua choice yao ya mwisho. Kuelekea mwishoni mwa mwaka imeoneka print hii inarudi kwa kasi tunaona watu maarufu mbalimbali Africa wakivaa kitenge hasa wanaume.

Alianza mwanamuziki Wizkid Ayo ambapo alivaa full kitenge kwenye video yake ya One Dance aliyo mshirikisha msanii Drake,

Tukaja kumuona mani kutoka Tanzania Dogo Jaja ambae mwenyewe amekiri kuwa Inspired na Wiz Kid akiwa amevalia Full kitenge outfit

Kama trend haikuisha hapa tukamuona Diamond Platinum,ambae kwa sasa anavaa sana hizi prints alizivaa kwenye birthday yake lakini pia amezivaa katika tuzo za Afrimma ,

 

Tumemuona pia msanii Hemedy Phd akiwa amevaa full kitenge outfit yaani suruali na shirt jana akiwa ameattend Sziff kutoka Sinema Zetu

Na leo tumemuona msanii Shetta kutoka Ilala akiwa amevaa full kitenge outfit kutoka kwa mbunifu Mgombelwa

Kwetu tunaona ni kitu kizuri kutangaza vya kwetu lakini pia tunahitaji ubunifu zaidi sio kila mbunifu anafanya kitu hiko hiko kimoja na pia kama utataka kuvaa trend hii inabidi uwemuangalifu na uchaguzi wako wa kitenge, vitenge vingine vinakuwa too much na vingine vinafanya mtoko uonekane mchafu.

Tumbie iwaki unaionaje trend hii?

Related posts

7 Comments

 1. mp3 juice

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/trend-talk-tuesday-full-kitenge-outfit-for-men/ […]

 2. Plumbing Services Woodstock GA

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/trend-talk-tuesday-full-kitenge-outfit-for-men/ […]

 3. MuayPakYok

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/trend-talk-tuesday-full-kitenge-outfit-for-men/ […]

 4. อนิเมะพากย์ไทย

  … [Trackback]

  […] Here you can find 49444 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/trend-talk-tuesday-full-kitenge-outfit-for-men/ […]

 5. Penis Envy Mushroom

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/trend-talk-tuesday-full-kitenge-outfit-for-men/ […]

 6. 토렌트 사이트

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/trend-talk-tuesday-full-kitenge-outfit-for-men/ […]

 7. https://www.postandcourier.com/sponsored/phenq-reviews-does-this-diet-pill-actually-work/article_1cdbfb1a-395f-11ee-9d97-33c51303c959.html

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/trend-talk-tuesday-full-kitenge-outfit-for-men/ […]

Leave a Reply