SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Trend Talk Tuesday: The Gingham Trend
Mitindo

Trend Talk Tuesday: The Gingham Trend 

2017 imekua all about prints chochote kinacho husu prints kina trend tumeona zilikuwa floral prints zikaja patches, hatukaa sawa kukawa na striped prints na sasa kinacho onekana kutrend zaidi ni gingham , watu maarufu, fashionista’s na fashion bloggers wameonekana kuvutiwa sana na trend hii. Inavalika vizuri kama uta pair na rangi nyingine lakini pia unaweza kuvaa zenyewe kwa zenyewe.

Unaweza kuvaa kama viatu kama fashion blogger Stella Uzo kutoka Jadore Fashion alivyo vivaa

Inawezekana ikavaliwa ofisini pia kama skirt, top au hata suruali wewe na uwezo wako wa kuistyle na kuonekana official 

 

 

Ruffle ziko so in kwa sasa unaweza kuvaa trend on trend kwa kuvaa ruffle skirt yenye kitambaa cha gingham kama Stella hapo chini 

Gingham top kama tulivyo sema hapo juu unaweza kuivaa vyovyote kama top, suruali,skirt gauni etc unaweza kuvaa kama Chic Ama hapo chini 

Dwomoh-Piper Twins wakiwa wamevalia gingham trend off shoulder & ruffle top na denim shorts na gladiators giving us summer vibes

unaweza kuvaa trend hii kama gauni pia. 

mmeipenda trend au hapana? tuambie kupitia account zetu katika mitandao ya kijamii

Related posts

4 Comments

  1. check my blog

    … [Trackback]

    […] There you will find 48826 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/trend-talk-tuesday-the-gingham-trend/ […]

  2. magic mushrooms blue meanies

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/trend-talk-tuesday-the-gingham-trend/ […]

  3. weed delivery toronto

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/trend-talk-tuesday-the-gingham-trend/ […]

  4. Read More Here

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/trend-talk-tuesday-the-gingham-trend/ […]

Leave a Reply