SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Trends 3 Zinazoonekana Kukiki Katika Ulimwengu Wa Fashion
Mitindo

Trends 3 Zinazoonekana Kukiki Katika Ulimwengu Wa Fashion 

Inawezekana ukawa umesha zi-spot hizi fashion huko mitaani au katika social media na inawezekana bado hujaona well tupo hapa kukuhabarisha zaidi, katika ulimwengu wa mitindo kuna baadhi ya vitu huwa vinaonekana sana katika msimu fulani hivi huwa vinaitwa trends, yaani kitu kinacho kiki kwa msimu huo. Kwa sasa katika pitapita zetu tumeona hivi vitu vitatu vinaonekana kuvaliwa sana

  • Neon Colors 

tulisha ongelea kuhusu neon colors, hizi ni rangi ambazo zinashout sana kwa jina lingine huwa zinaitwa crazy colors, zilisha wahi ku-trend miaka kadhaa nyuma na kwa sasa zimeonekana kurudi kwa kasi,

well kwa wale wapenzi wa rangi huu ni wakati wenu na kwa wale ambao hampendi rangi its about time ya kujaribu kitu kipya unaweza kuanza nayo kidogo kwa kutumia kama accessories kama mkoba,mikufu, hereni blazer, shoes, etc.

Tiwa Savage

Vanessa Mdee

 

  • Tactical Vest / Chest Coats 

Hizi ni zile vest ambazo huvaliwa mara nyingi na wanajeshi lakini pia kuna zile ambazo zimetengenezwa kama makoti tu ya kawaida huwa yanavaliwa mara nyingi na waendesha bodaboda, well kwa sasa ni trend ambayo inakuja kwa kasi zaidi huku duniani na watu maarufu wengi hasa wa kiume wameonekana kuvalia trend hii, hii ni moja ya zile trend ambazo zinaenda na kurudi. Ni trend ambayo tumeiona sana hapa kwetu Tanzania wakaka wapo nayo moto,

tunadhani it requires less makorokoro kama ukiivaa na vitu vingi unakuwa umeharibu

 

  • Boiler Suits 

Sisi tunaziita kanyela mumo au overalls, ni moja ya trend ambayo ina trend sana kwa wenzetu japo hatujaona fashionistas wengi kutoka Africa wakivaa lakini kwa wenzetu ni wengi mno wameonekana nayo, but we have someone ambae tumesha wahi kusema kwa mwaka huu she is a diva linapo kuja katika swala la Fashion, Vanessa Mdee A.K.A Vee mtonyo yeye ameonekana kuijua hii trend na tumemuona mara kadhaa akiwa amevalia trend hii.

gray boiler suit

Denim 

kama utajaribu moja kati ya hizi trend au utamuona msanii kutoka Africa amevaa usisite kututag katika social media accounts zetu.

Related posts

5 Comments

  1. Buy B+ magic mushrooms for sale online Nevada

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/trends-3-zinazoonekana-kukiki-katika-ulimwengu-wa-fashion/ […]

  2. wonder bar mushroom

    … [Trackback]

    […] Here you will find 73693 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/trends-3-zinazoonekana-kukiki-katika-ulimwengu-wa-fashion/ […]

  3. ศูนย์บริการลูกค้า

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/trends-3-zinazoonekana-kukiki-katika-ulimwengu-wa-fashion/ […]

  4. about his

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/trends-3-zinazoonekana-kukiki-katika-ulimwengu-wa-fashion/ […]

  5. 웹툰 무빙 무료보기

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/trends-3-zinazoonekana-kukiki-katika-ulimwengu-wa-fashion/ […]

Comments are closed.