SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Trend’s We Are Leaving 2018
Mitindo

Trend’s We Are Leaving 2018 

2018 gave us a lot zile ambazo we could take na zile ambazo we said okay hapa mmevuka mipaka, 2018 gave us 80’s from spandex biker shots, beret, fanny packs, ugly dad sneakers to crazy denim trousers, clear bags and so many more, tunaelekea 2019 na tumeona tutaje zile ambazo tunahisi zipumzishwe mwaka ujao tuwe na vitu vipya.

 • The Ugly Dad Sneakers 

 

Kama ambavyo jina lake lipo basi na zenyewe ndivyo zilivyo these shoes are ugly, mwaka 2019 we don’t want to see ugliness on the streets. Uchumi umesha tuchosha na kutufanya tuonekane wabaya and yet uko hapo na hizo ugly dad sneakers kufanya siku nayo ionekane kuwa mbaya, the worst part ni hii R chuga style iliyo anzishwa, mtaani unakutana na kijana ana kiatu kibaya halafu kikubwa ” why though why”

The Ugly Sneakers Zinavyo Trend Kwa Sasa

 • The Off White Industrial Belt

Enough is enough hizi belts zipumzike kama unayo please iweke kwenye kabati until “forever”, they were cute and all until everyone was wearing them tena wengine wakawa wanaharibu na kuzi-style vibaya can we leave them 2018? thank you.

Trend Talk Tuesday – The Extra Long Belt Trend

 • Tiny Sun Glasses 

Throw them back to the 90’s where they come from, Tiny Sunglasses zilikuwa zina trend miaka ya 90 na tunajua kwa sasa vitu vingi vya miaka hio vinarudi, seems like katika ambavyo vimebahatika na hii trend imebahatika, imefika kipindi tuziache zirudi zilipo toka imekuwa too much 2019 we need something new and fresh

 • Weird Brows Trend 

2018 ilikuwa na mambo mengi katika ulimwengu wa fashion & beauty, katika urembo sana ilitokea katika nyusi from the squiggle brows, fish tail brows, Christmas tree brows basi ali mradi kasheshe tunadhani mwaka 2019 tunahitaji proper brows ambazo mtu akikuaangalia ana stahajabu kwa uzuri wake na sio kwa vichekesho

Makeup Artist Wanakuletea Trend Mpya Ya Nsyusi Mkia Wa Samaki (Fish Tail Eye Brows)

Squiggle Brows Zimefika Tanzania Na Rosa Ree Hajataka Kupitwa

 • Tactical Vest / Chest Coats 

 

Just leave them in 2017 please

Spotted Diamond Platnumz, Rayvanny & Harmonize Wakiwa Wamevalia Vest Bag Trend

Related posts

4 Comments

 1. Full Article

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/trends-we-are-leaving-2018/ […]

 2. ดีเอ็นเอเบท

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/trends-we-are-leaving-2018/ […]

 3. botulinum toxin type a price

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/trends-we-are-leaving-2018/ […]

 4. สล็อตเครดิตฟรีถอนได้จริง

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/trends-we-are-leaving-2018/ […]

Comments are closed.