SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Trend’s Za Kuzipumzisha Mwaka Huu
Mitindo

Trend’s Za Kuzipumzisha Mwaka Huu 

Tumeugawa mwaka na tumesha ona trends nyingi zikiendelea katika upande wa mitindo na urembo, well kunazile ambazo tungependa kuziona zikiendelea na kunaambazo tunaweza kusema zipumzike, zilikuwa nzuri wakati zinaanza lakini kwa sasa lets rest them a little.

Ugly Shoes

 

zilianza kama utani watu wengi walizikosoa na kuuliza nani atatoa hela yake kuvaa hivi viatu, long story short kila mtu akawa hyped navyo katika social media zikaja hadi mtaani katika maisha ya kawaida. Tunaweza kusema hii trend ipumzike kwa maana hivi viatu havipendezi katika vazi lolote na pia havipendezi miguuni ilitakiwa kuwa one time thing na sio kuishi mpaka sasa let them rest engough is enough.

off white industrial belt

 

Ni trend kubwa sana ilikuwa kila msanii, fashionista’s na hata watu wa kawaida walionekana kuvutiwa nao, we have to say off white wametikisa mwaka huu mwanzoni, lakini hakuna marefu yasiyo na ncha tumesha iona sana na sasa ni muda wake wa kupumzika na kuangalia vitu vingine, huwezi ku scrow down katika mitandao ya kijamii bila ya kukutana na picha ya mtu amevaa huu mkanda. Can we all be normal now na kuanza kuvaa mikanda yetu ya kawaida? thank you.

Fendi t-shirt, full fendi or anything fendi

 

Watu maarufu mbalimbali Duniani Nje na ndani ya Africa wameonekana kuwa wanavutiwa na bidhaa za Fendi sana kwa msimu huu, seems like it’s Fendi season lakini tayari tumesha choshwa na kuona bidhaa kutoka katika hii kampuni labda ni kwa sababu zinarudiwa kuvaliwa zile zile kwahiyo tunakutana na jambo lilelile kila wakati lakini pia ni kwa sababu zimetoka fake na kila sehemu kila mtaa zipo, imekuwa common na not funny no more.

Tiny sun glasses.

Tiny Sunglasses zilikuwa zina trend miaka ya 90 na tunajua kwa sasa vitu vingi vya miaka hio vinarudi, seems like katika ambavyo vimebahatika na hii trend imebahatika, imefika kipindi tuziache zirudi zilipo toka imekuwa too much na wengine wanakosea kuzivaa, kama ambavyo kila kitu kina tegemea na type ya mwili wako basi na hii trend pia inategemea na type ya uso wako some wanakosea na kufanya trend ionekane mbaya na wenyewe kuonekana hawaja pendeza its about time to throe this trend back to the 90’s

 

Related posts

2 Comments

  1. 티비위키

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/trends-za-kuzipumzisha-mwaka-huu/ […]

  2. visit here

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/trends-za-kuzipumzisha-mwaka-huu/ […]

Comments are closed.