SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Trendy Talk – Ruffles
How to Rock

Trendy Talk – Ruffles 

Ruffles zipo so in kwa sasa (mwaka huu) kila Fashionista ame zivaa & tunaipenda hii trendy kwa sababu ipo classy & chic na kizuri ina patikakana katika namna tofauti ina weza ikawa ruffle skirt,shirt,blouse au dress yes kuna option ya kila mtu ni wewe na chaguo lako una taka kuvaa trendy hii vipi

Ruffle top/blouse/shirt – una weza kuvaa na skirt, suruali au pensi ni zuri kama haito kuwa too much ruffles go for simple look pia kwa sasa wengi wana vaa striped lakini una weza kuvaa any how unapenda

Ruffle Skirt – hizi zipo muda na ni nzuri kwa kazini zina ile chic look lakini pia una weza kuzifanya ziwe church ou wedding guest outfit

Ruffle Dresses – hapa una weza kuwa dramatic unavyo weza ili mradi tu husivuke mipaka, una weza ukavaa kama date outifit, wedding guest,etc

So far tunaipenda hii trend japo kuna Ruffle trouser hizi hatujazielewa lakini wenyewe wana zivaa zinaeleweka

 

 

Related posts

2 Comments

  1. Read Full Report

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/trendy-talk-ruffles/ […]

  2. 5 meo dmt kopen

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/trendy-talk-ruffles/ […]

Leave a Reply