Inapo fika jumanne kwa kingereza ina itwa Tuesday huwa tuna hii segment ya trend talk Tuesday ambapo hapa tunakuwa tunaongelea nini kina trend katika ulimwengu wa fashion na namna ya kukivaa, pia tunakupa inspirational pictures kutoka kwa fashionistas mbali mbali walivyo vaa, wiki hii tunaongelea Layered Frills hizi ni kama Ruffles lakini hizi ni zile ambazo zimelazwa zaidi ya mara moja
tulianza kuiona kwenye suruali ambapo mara ya kwanza tukajiuliza mmh hizi zitavalika kweli? lakini kuna wale ma fashionista nguli ambao wanaweza ku pull out nothing kikaonekana something sasa hizi almost kila page unakutana na fashionista amevaa hizi suruali that makes us think not bad at all
Mermaid Tail Layered Frills – kama una harusi, una simamia harusi au una mtoko wako ambao unahitaji tail basi unaweza kuweka layered frills infarct ni kitu kipya so utakuwa unique
Statement Layered Frills – hizi ni zile ambazo unakuwa nazo kubwa zina make statement katika mtoko wako
The Ultimate High-Low Layered Frills
Casual & Chic Layered Frills
kusoma trend nyingine bonyeza hapa
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 74074 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/trendy-talk-tuesday-layered-frills/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/trendy-talk-tuesday-layered-frills/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/trendy-talk-tuesday-layered-frills/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/trendy-talk-tuesday-layered-frills/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/trendy-talk-tuesday-layered-frills/ […]