SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

TSHIRT NA PENCIL SKIRT KUTOKA KWA FLAVIANA MATATA NA TAUSI
How to Rock

TSHIRT NA PENCIL SKIRT KUTOKA KWA FLAVIANA MATATA NA TAUSI 

Unapo taka kuwa simple kwenda kazini, matembezeni au kutoka na washkaji zako basi hili ni jibu lako, Tshirt na Pencil skirt unaweza kuwaza inavaliwaje? Inspiration kutoka kwa Tausi Likokola na Flaviana Matata

flavy

Flaviana amependeza na skirt yake nyeusi pamoja na T-shirt nyeupe huku akiwa amevalia viatu vya mauana yenye kushahabiana na pochi.tausi tausi1

Huku Tausi akionekana kupenda T-shirt za celine pamoja na pochi za celine akiwa amevalia na pencil skirt ya blue na nyeusi simple yet elegant

Related posts

2 Comments

  1. ufabet

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tshirt-na-pencil-skirt-kutoka-kwa-flaviana-matata-na-tausi/ […]

  2. Adult Chat Cams Spy

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tshirt-na-pencil-skirt-kutoka-kwa-flaviana-matata-na-tausi/ […]

Leave a Reply