SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

TULIO ICHAGUA LEO (PEEK OF THE DAY) #1
Mitindo

TULIO ICHAGUA LEO (PEEK OF THE DAY) #1 

katika mizururo yetu ya hapa na pale tukakutana na Jokate Mwegelo, wote tunamjua ukiachana kuwa model, muigizaji, mwanamziki, babe wa Ali Kiba lakini pia Jojo ni MjasiriamaliĀ  mzuri tu. Lakini hayo sio yaliyo tufanya tumu weke hapa tume muweka kutokana na hii pozt yake mpya aliyo post masaa machache yaliyo pita akiwa amependeza mno

Tume penda make up yake ilivyo endana na mavazi yake, nywele ziko vizuri

15035620_760708944067062_4123546221979631616_n

Kitambaa cha hii nguo kipo perfect, mshono on fleek bila kusahau the curves, Jokate looks like a diva na hii outfit 15057226_1774611812793031_2227738419050577920_n

Hope umeipenda peek of the day yetu

Kwa maoni zaidi

Twitter – afroswaggatz

Facebook – afroswaggamag

Istagram – afroswagga

Related posts