Ukiwa mwaka 2015 unaelekea ukingoni, leo tunawaletea tulizo zipenda kutoka kwa wabunifu wetu mwaka huu. Ingawa wengi hawakutoa collection mwaka huu kuna wachache walitoa na tukazipenda kiukweli wabunifu wetu wana fanya kazi kubwa na wana stahili pongezi
1) Kiki Zimba ni mwanadada anae fanya kazi ya ubunifu na ana jitahidi mno hizi ni chache kati ya kazi zake nyingi zilizo tuvutia, ukiangalia hizi nguo utaona ni jinsi gani kazi ya Kiki ni nzuri zipo neat na zina vutia, Kiki we cant wait kuona kazi zako 2016.
2) Ally Rehmtullah hii collection ilitoka mwezi wa tatu mwaka huu lakini imeishi mpaka mwezi wa kumi na mbili kwa maana aliweka kila kitu kuanzia magauni, jumpsuit, nguo za kuogele na nyingine nyingi lakini katika zote Ally tunaomba utoe Collection hata tatu mwaka ujao. hizo hizi ndizo zilizo tuvutia zaidi
3) Mustafa Hassanali hii collection ilitoka mwezi wa kumi ilikua kwa ajili ya kuongelea Amani kipindi ambacho nchi yetu inaelekea katika uchaguzi, Mustafa alitisha sana na hii collection pia we cant wait kwa collection yake 2016
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tulizo-zipenda-kutoka-kwa-wabunifu-wetu-2015/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tulizo-zipenda-kutoka-kwa-wabunifu-wetu-2015/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tulizo-zipenda-kutoka-kwa-wabunifu-wetu-2015/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tulizo-zipenda-kutoka-kwa-wabunifu-wetu-2015/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tulizo-zipenda-kutoka-kwa-wabunifu-wetu-2015/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tulizo-zipenda-kutoka-kwa-wabunifu-wetu-2015/ […]