Prom ni kama bonanza kwa wanafunzi wanao maliza masomo yao iwe secondary au chuo lakini kwa wenzetu hupewa kipaumbele sababu hapo ndipo wazazi wanapo toa ruhusa kwa watoto wao kutoka kama na marafiki au wavulana wao. Wengi huigia mavazi kutoka kwa watu maarufu mbali mbali na hizi ndizo zilizo tuvutia zaidi mwaka huu
Beyoncé mwanafunzi kutoka St. Louis, India Ross ame tumia $800 sawa na 1,693,600 tzs kutengeneza gauni kama la Beyoncé’ 2015 Givenchy Met Gala
Na huyu nae aliamua kumuiga Beyonce
Imani Izzi of ‘Coming to America’ mwanafunzi Jimelle Levon kutoka Columbus, Ohio,amebuni na kutengeneza gauni lillilo tumika katika filamu ya Coming to America
Mwanafunzi Katarina Colling’s ame bun gauni linalo fanana na la mbunifu Alexander McQueen ambalo lilivaliwa na Jessica Chastain katika tuzo za Oscars 2012
Aliyah Atkins’s alivaa gauni kama la Priyanka Chopra alilo livaa katika 2016 SAG Awards
Charlote aliamua kumuiga Selena Gomez
Amber Shelb aliamua kutoka kama Kim Kardashian
Racy na Cookie kutoka Empire
Nicki Minaj
huyu alimuiga Rita Ora gauni alilo livaa katika MTV Music Awards 2013
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tulizo-zipenda-kutoka-prom-2016/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 14309 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tulizo-zipenda-kutoka-prom-2016/ […]