SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tumependa Hii Kutoka Kwa Gigy Money
I'm A Celebrity

Tumependa Hii Kutoka Kwa Gigy Money 

Japo huwa tunaambiwa don’t judge the book by its cover lakini wengi wetu huwa tuna fanya hivyo, na sisi leo acha tuseme tu we are judging the book by its cover. Tumependa hii cover ya Gigy money ya wimbo wake mpya wa “papa” tuna weza kusema kwa English shark (dont mind us lol).

Gigy amevaa mixed print ambazo ni eye catching, Kavaa gere la kitenge, na floral swim suit na kimono ambavyo vimeendana perfectly

Tume penda accessories japo angetoa hereni ingekuwa bora zaidi lakini ame jitahidi, make up on point na kingine tumependa she actual putted some effort ku serve face kwenye photo shoot na mpiga picha kamtendea haki. to our hopes huo wimbo utakuwa mzuri kama ambavyo cover yake ipo.

Way to go Gigy.

Related posts

1 Comment

  1. superslot

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tumependa-hii-kutoka-kwa-gigy-money/ […]

Leave a Reply