SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tunapenda Tunacho Kiona Kutoka Kwa Miss Tanzania 2019
Mitindo

Tunapenda Tunacho Kiona Kutoka Kwa Miss Tanzania 2019 

Tarehe 21/8/2019 tulipata Miss Tanzania mpya, ambae alichukua taji kutoka kwa Miss 2018 Queen Elizabeth Makune. Sylivia Sebastian Bebwa hakuwa chaguo la wengi lakini hii haija mfanya azorore.

Kitu ambacho tumekiona na kukipenda kutoka kwake ni kwamba anaonekana sehemu nyingi, hii inampa nafasi ya kuendelea kuongelewa na wa-Tanzania kupata kumjua zaidi.

Lakini ambacho ni kikubwa ni kwamba anajenga confidence na kuchukua mazoezi ya kutembea ikiwa anakaribia kwenda kutuwakilisha katika miss World 2019, Sylvia tumemuona katika majukwaa ya fashion mbalimbali kama jama festival na Tanzania Fashion Festival

Sylvia akiwa katika Tanzania Fashion Festival, Dressed By –  @jadorecouturetz
Mua @misanamakeup_ 📸 @mikemosbrand

.

Sylvia akiwa katika Tanzania Fashion Festival, Dressed By  @neste.fashions

Ni matumaini yetu tutaendelea kumuona kwenye matamasha mengine ambapo tunadhani yana mjenga na kujiamini lakini pia utembeaji wake

Related posts

3 Comments

  1. Plantation Shutters

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tunapenda-tunacho-kiona-kutoka-kwa-miss-tanzania-2019/ […]

  2. polka dot mushroom chocolate oakland

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tunapenda-tunacho-kiona-kutoka-kwa-miss-tanzania-2019/ […]

  3. buy Ecstasy on line united states , Canada , united kingdom , Europe , Australia

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tunapenda-tunacho-kiona-kutoka-kwa-miss-tanzania-2019/ […]

Comments are closed.