SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tunasheherekea Siku Ya Wanawake Duniani Na Hizi Slogan T-shirt Zilizo Valiwa Na Fashionista Mbalimbali
Mitindo

Tunasheherekea Siku Ya Wanawake Duniani Na Hizi Slogan T-shirt Zilizo Valiwa Na Fashionista Mbalimbali 

Kila tarehe 8 march Dunia huwa inasheherekea siku ya wanawake Duniani, wanawake wana deserve hii siku kwa maana huwa wanawekwa chini sababu tu ni mwanamke lakini ukitathmini kiundani zaidi utagundua sote wanawake kwa wanaume tunauwezo sawa, katika kufikiri, kufanya kazi, upendo na mengineyo,

Ikiwa wanawake wameanza  kuamka na kujua umuhimu wao katika jamii tumeona tu share nanyi hizi slogan t-shirt ambazo fashionista’s mbalimbali wamezivaa za kutia moyo pamoja na kupiga sauti dunia itambue umuhimu wa wanawake

This dior t-shirt ilivaliwa sana na wanawake na celebrities mbalimbali ikiwa na maneno “we should all be feminist” , hapa ikiwa imevaliwa na style blogger kutoka Tanzania Jackie M FERNWEH

Hii nayo ime trend sana ni t-shirt iliyo andikwa ” The Future Is A female” nayo ikiwa imevaliwa na fashion blogger kutoka Tanzania aitwae Azure Kange

Mwanadada Chaba a.k.a kidsevents ameonekana akiwa amevalia slogan t-shirt iliyo andikwa “Strong As A Woman” yes women are strong

Fashion Blogger Stella Uzo akiwa ame rock t-shirt iliyo andikwa “Heels On Fire” women tend to close deals in heels na sio kitu rahisi kufanya.

The world has to know women are not perfect and they should take us the way we are.

tuambie slogan ipi imekuvutia sana? Happy Women’s Day From Us To You, Keep On Stay Strong & Slay Always.

Related posts

2 Comments

  1. molly drug another name,

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tunasheherekea-siku-ya-wanawake-duniani-na-hizi-slogan-t-shirt-zilizo-valiwa-na-fashionista-mbalimbali/ […]

  2. price of Albino Penis Envy Mushrooms online,

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tunasheherekea-siku-ya-wanawake-duniani-na-hizi-slogan-t-shirt-zilizo-valiwa-na-fashionista-mbalimbali/ […]

Comments are closed.