Ijumaa ndio ime fika na vichwani mwa wengi kuna jambo moja tu mitoko na ku turn up na marafiki, kama ni mpenzi wa drama basi mitoko hii ina kufaa hasa
kama una mtoko na marafiki wa kawaida tu basi hii simple gauni inakufaa
saa nyingine unahitaji uthubutu kupata muonekano wa tofauti sio lazima uvae gold usiku una weza kuvaa mchana ila ni jinsi tu ya kuliweka vazi lako, mtoko wa date casual una weza kuvaa ka gauni keupe, gladiators za gold clutch na mkufu wa gold
kama una mtoko mkubwa labda date, harusi basi gauni ya gold yenye drama kama hii itakufaa zaidi
Red carpet ukivaa hivi utakua umeenda sawia kabisa
kuna wale ambao tunaendaga club lakini sio kucheza ila kuenjoy tu basi tokelezea hivi.
Related posts
7 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/turn-up-na-gold-outfit-ijumaa-hii/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/turn-up-na-gold-outfit-ijumaa-hii/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/turn-up-na-gold-outfit-ijumaa-hii/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/turn-up-na-gold-outfit-ijumaa-hii/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/turn-up-na-gold-outfit-ijumaa-hii/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 26906 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/turn-up-na-gold-outfit-ijumaa-hii/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/turn-up-na-gold-outfit-ijumaa-hii/ […]