SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

TWO PIECES OUTFIT IDEAS FOR PARTY
How to Rock

TWO PIECES OUTFIT IDEAS FOR PARTY 

Pale jua linapo zama na our fellow party animals ndio kwanza tuna amka na kufikiria tuna vaa kwenda ku-party jibu ni simple two pieces outfit. Na kwanini ulale wakati hela ume itafuta mwenyewe eti tu kwa sababu hujui cha kuvaa, tupo apa kwa ajili yako

A Touch Of Shimmer – kwa ajili ya party look labda kama wedding party basi hili chaguo lako tosha, kama ni skirt au crop top iwe na ming’aro jaribu kuchukua rangi neutral, vaa accessories neutral nywele ziwe zime banwa vizuri then your good to go

A-shade-of-gray

Black on Black – hii ni choice nzuri always kama hauna uhakika na nini uvae go black, vaa a lace crop top na black skirt, pump heels au open heels, vaa nguo yako na minimum make up na silver au rose gold accessories

Black-is-back

Kuwa Stylish – si lazima uvae rangi moja kisa tu ni two pieces outfit una weza kuchanganya rangi unavyo penda uka pendeza, achia nywele match viatu na clutch

A-stylish-birthday-girl

 

Related posts