SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Ua Moja Masaa 30 Kwenye Gauni Hii Ya Rihanna
Mitindo

Ua Moja Masaa 30 Kwenye Gauni Hii Ya Rihanna 

The Met Gala A.K.A “fashion’s biggest night out” imefanyika usiku wa Jumatatu ambapo theme ya event hii mwaka huu ilikuwa “Karl Lagerfeld: A Line of Beauty”na Dress code ni “In honor of Karl”. Kati ya watu maarufu waliohudhuria event hii alikuwepo Fashion Icon Rihana & she was fashionably late (lol).

Looks From Met Gala 2023 

As usual Rihanna amebeba taji la best dressed ambalo amekuwa akilichukua kwa miaka kadhaa sasa, anyways back to the event ya mwaka huu Rihanna alivaa gauni kutoka kwa mbunifu Maison Valentino na alisema alikuwa anam’channel bride of chanel.

Gauni hii ya Riri ilikuwa na kama hoodie ambayo transformation yake ikaja kuwa kama coat kavalia juu

Rihanna amesema kwamba kila ua lililokuwepo kwenye hii gauni limechukua masaa 30 kutengeneza, masaa 30 ni sawa na siku moja na masaa yake kadhaa, well tunaweza ku-imagine ilichukua siku ngapi na watengenezaji wangapi kumaliza coat hii. Rihanna amesema pia ame attend met gala sababu tu ameipenda gauni yake ( inawezekana tusingemuona mwaka huu isingekuwa kwa hii gauni)

Well Afromates tupe maoni yako kuhusu gauni hii je ina worth muda uliotumika kutengeneza?

Related posts