Katika msimu huu wa mwezi mtukufu, Ni dhahiri kuwa wengi wetu tunapata wakati mgumu wa kujua tutavaa nini katika msimu huu. Hapa ndo tunapoona umuhimu wa kuwa na wabunifu, ambao kazi yao ni kutupa mwonekano mpya kila siku. Leo nimejaribu kuangalia baadhi ya mavazi ambayo wabunifu mbalimbali wameyatengeneza maalum kabisa kwaajili ya ramadhani.

Baadhi ya wabunifu hao ni.

  • Dolce &  Gabbana
  • Mango
  • Faryz Abbaya
  • Shweta Wahi
  • Na wengine wengi

Faryz

Dolce&Gabbana ramadhani (2) ramadhani (3) ramadhani

 

 

Comments

comments