SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

UCHAGUZI WA MAVAZI KUTOKANA NA MADHARI ULIYOPO
Mitindo

UCHAGUZI WA MAVAZI KUTOKANA NA MADHARI ULIYOPO 

Ni maajabu hakika tumekuwa tukijionea kwa baadhi ya watu ambapo wengi wetu tumekuwa tukilipuka na kutokelezea na nguo ambazo haziendani na mazingira ama tukio husika hivyo kuwa vichekesho katika umati.
Tuanze na ufukweni na mavazi yake ambapo ni mahala pa kupunga upepo na kuogelea hivyo mavazi yatakiwayo ni nguo za kuogelea na nyepesi. Ila unaweza onana na mtu kajivika kama anaenda kupanda Mlima Kilimanjaro hii inatufanya tukumbuke Wasafi Beach Party ambapo walipanda jukwaani na suit Hivi walikua serious kweli? tunadhani kabla ya kubuniwa zile nguo wange google beach party za wenzetu kupata idea ya nini cha kuvaa . Hili hakika linashangaza maana mazingira ya beach hayaruhusu hivyo tubadilike kwa wenye uvaaji huu.
Pili hili la watu mabarabarani (casual street style) hasa kwa wanawake ambapo mchana wajua kali unakutana na mtu  kavaa vazi la sherehe ama usiku lenye kumetameta basi ni kugeuka mti krismas mchana. Mavazi ya sherehe hasa usiku ni maalumu kwa ajili ya matukio hayo hivyo yatupasa watu kuheshimu na kutambua mavazi yapi mtu aweza vaa on a casual day.
Pia mitoko kama club ama get together na washikaji ama marafiki. Hapa yafaa mtu kuvaa casual, a jeans na tshirt kwa wakaka na
some cool sneakers chini: na kwa wadada some jeans na a fancy top amaa cute short dress. Ila waweza kuta mtu kavaa too formal hata kuweza
kuwa tofauti na wahusika na mazingira yale. Suti, gauni la mburuzondani ya club kweli? Watu  they need to know matukio na kuweza kuvaa kulingana na tukio lenyewe.
Kiufupi upangiliaji wa mavazi hulingana na tukio ukufanya uonekane mtanashati na mwenye kujielewa ndani ya jamii hivyo kwa wasiojielewa
waweze kubadilika.
Article by @willibard_jr

Related posts

3 Comments

 1. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/uchaguzi-wa-mavazi-kutokana-na-madhari-uliyopo/ […]

 2. wegovy reviews for weight loss​

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/uchaguzi-wa-mavazi-kutokana-na-madhari-uliyopo/ […]

 3. Where to Buy Changa DMT online Perth

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/uchaguzi-wa-mavazi-kutokana-na-madhari-uliyopo/ […]

Leave a Reply