SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

ULTRA VIOLET 18-3838 YATAJWA KUWA RANGI YA MWAKA 2018
Mitindo

ULTRA VIOLET 18-3838 YATAJWA KUWA RANGI YA MWAKA 2018 

Tukiwa tunaelekea ukingoni wa mwaka 2017, well, rangi ya mwaka that is color of the year 2018 imetoka nayo ni ULTRA VIOLET 18-3838 ambayo ni rangi ya zambarau isiyokoza sana waweza kuiita hivi.

Wengi hujiuliza je rangi hizi za mwaka ni nani hasa huusika katika uteuzi wake? Wengine hufikiri ni Malkia Elizabeth II wa Uingereza ndiye muhusika. Lakini kumbe the color of the year toka mwaka 2000 imekuwa ikichaguliwa na the Pantone Color Institute. Ni kampuni kubwa duaniani inayodeal na global color trends yaani imejikita katika utafiti wa rangi katika tasnia ya fashion. Kampuni hii hutoa pia ushauri wa matumizi ya rangi, maana zake, saikolojia zake kwa wavaaji wa nguo za rangi Fulani na ubunifu na uchanganyaji wa rangi kwa makampuni na designers ndani ya tasnia ya urembo na fashion.

Rangi ya sasa iloteuliwa na Pantone inaelezewa kuwa ni rangi yenye kumaanisha upekee kwa kila mtu yenye kusimamia uhalisi, uelekevu na usawa kwa watu. Rangi yenye mfanano na anga za mbali katika sayari (galaxies) hivyo kumaanisha chochote chawezekana na yenye kutupeleka in the future.

Duaniani wasanii maarafu walokuwa wavaaji  wa nguo za rangi hii pamoja na Prince na David Bowie wote waliofariki mwaka jana.

Prince

David Bowie

Wengi wanaona ni rangi ngumu kuvaa lakini it all comes down to the styling ya outfit yako. And here ni samples za how you can rock and style the color.

Tuambie nini maoni yako juu ya rangi hii ilochaguliwa. Tutumie kwa email ama kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii

IMEANDIKWA NA @willibard_jr

IG: @afroswagga

Twitter: @afroswagga

Related posts

6 Comments

  1. สร้างไลน์ official

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/ultra-violet-18-3838-yatajwa-kuwa-rangi-ya-mwaka-2018/ […]

  2. buy magnum research guns

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/ultra-violet-18-3838-yatajwa-kuwa-rangi-ya-mwaka-2018/ […]

  3. buy lsd online

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/ultra-violet-18-3838-yatajwa-kuwa-rangi-ya-mwaka-2018/ […]

  4. Buy Psilocybin Mushroom Chocolate Bar Victoria

    … [Trackback]

    […] There you can find 95141 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/ultra-violet-18-3838-yatajwa-kuwa-rangi-ya-mwaka-2018/ […]

  5. Buy DMT online New South Wales

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/ultra-violet-18-3838-yatajwa-kuwa-rangi-ya-mwaka-2018/ […]

  6. wapjig.com

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/ultra-violet-18-3838-yatajwa-kuwa-rangi-ya-mwaka-2018/ […]

Comments are closed.