SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Umuhimu Wa Concept Creation Katika Tasnia ya Mitindo
Mitindo

Umuhimu Wa Concept Creation Katika Tasnia ya Mitindo 

Tunaweza kusema we have seen all katika mitandao ya kijamii, kuanzia kwa wabunifu, make up artist, models na wengine wengi, wengi wanajaribu kuji brand kwa kutafuta wapiga picha wazuri, models wazuri na kwetu sisi tunaona ni step kubwa ukiangalia na kule tulipo kuwa.

Tuna penda tunacho kiona na tuna wapa hongera wale wote wanao jitahidi kufanya kila kitu wanacho weza ili mradi wakuze brand zao lakini si vibaya pia kukumbushana hapa na pale na kujuzana yale ambayo labda tunayajua au hatuyajui kabisa

Kuna kitu kinaitwa Concept Creation watu wanao fanya concept creation wana focus zaidi kwenye product, kwenye nini kinauzwa na details za kitu hicho kuonyesha ubora wake. Sometimes huitaji mtu maarufu au model kutangaza biashara yako wakati mwingine unacho hitaji ni concept tu ya nini ufanye ili product yako ionekane vizuri.

Mfano mzuri wa concept creation ni brand ya Lavy kutoka Tanzania ambayo ina milikiwa na mwanamitindo Flaviana Matata, tofauti na ma star wengine Flaviana hatumii sura yake au watu maarufu kutangaza biashara yake bali ana fanya concept creation na kuonyesha kile ambacho anauza, hata kama atatumia model ana hakikisha focus inakuwa katika kile muhimu ambacho ni bidhaa yake (rangi za kucha)

Page nyingine ambayo tumeona ndio kwanza inaanza na tayari wamesha anza kutuvutia na concept creation yao ni @liliana.gallery wao wanauza handmade accessories na concept ya image zao zina focus zaidi na product kuliko mtu aliye ivaa kudos to whoever is behind this page.

watu wengi wanatumia watu maarufu kutangaza biashara zao hii inafanya watu wa focus more na huyo mtu kuliko hata bidhaa yenyewe, watataka kujua kapendeza au hajapendeza? watataka kutafuta lolote baya lililopo wakati unapo tumia creativity nyingine una uza zaidi bidhaa yako.

 

Unakuwa na brand image mfano ukiingia kwenye page ya Ivy Park brand ya Beyonce au Fenty Beauty ya Rihanna ukiifungua tu unajua nini kinaendelea kwamba nguo zinauzwa au make ups, lipstick, perfume etc tofauti na sisi ambapo ukifungua bidhaa ya mtu unacho ona ni watu maarufu tu huwezi kujua ni fan page au page ya bidhaa.

 

Ivy Park

Tunahitaji kuwa na stylist, good photo graphers lakini most of all we have to have concepts nyuma ya picha zetu na bidhaa zetu hivyo ni vitu vidogo ambavyo vina miss na kutuangusha kinoma noma.

Related posts

6 Comments

  1. สล็อตเว็บตรง 2023

    … [Trackback]

    […] There you can find 56334 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/umuhimu-wa-concept-creation-katika-tasnia-ya-mitindo/ […]

  2. Blue Foot magic Mushroom for sale online USA

    … [Trackback]

    […] There you will find 53849 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/umuhimu-wa-concept-creation-katika-tasnia-ya-mitindo/ […]

  3. Buy DMT Powder Online Perth

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/umuhimu-wa-concept-creation-katika-tasnia-ya-mitindo/ […]

  4. visit our website

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/umuhimu-wa-concept-creation-katika-tasnia-ya-mitindo/ […]

  5. dig this

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/umuhimu-wa-concept-creation-katika-tasnia-ya-mitindo/ […]

  6. see this here

    … [Trackback]

    […] There you can find 59098 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/umuhimu-wa-concept-creation-katika-tasnia-ya-mitindo/ […]

Comments are closed.