SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Umuhimu Wa Tape Bra ( Duct Tape)
Mitindo

Umuhimu Wa Tape Bra ( Duct Tape) 

Najua sio kitu kigeni kabisa kusikia kama wewe ni mpenzi wa mambo ya fashion, ni risk kubwa kwenda sehemu bila ya kuvaa bra, na kuna mavazi ambayo yanahitaji kuto kuvaa bra, kama una kifua kizuri ni rahisi lakini risk na kama kifuani hapapo vyema ni ngumu kuvaa hio nguo ndio maana zikabuniwa hizi tape bra.

Tape bra zipo za aina nyingi sana na zinatofautiana kulingana na mahitaji yako, tape bra zimepata umaarufu mkubwa kutokana na mavazi ambayo yapo wazi kwa sehemu kubwa hauwezi kuvaa na bra za kawaida.

Leo tungependa kukuletea umuhimu wa tape bra na kwa nini hautakiwi kukosa tape brah katika kabati lako;

  • Unaweza kuvalia na nguo yoyote

Tape bra unaweza kuvaa na aina yoyote ya nguo au style. Hauwezi kuvaa bra na kila aina ya nguo na kama unavyojua hauwezi kuvaa nguo ya mgongo wazi ukiwa umevaa bra ya kawaida inapunguza mvuto wa muonekano wako.

  • Unaweza kuvaa sehemu yoyote na haitofanya muonekano wako kupungua mvuto.

Unapovaa vazi la kata mikono na bra yenye mikanda ya kawaida inafanya vazi lako lionekane cheap na kukuharibia show nzima ya vazi, unapovaa tape bra inafanya vazi lako lionekane vile linavyotakiwa kuonekana bila ya mvuto kupungua.

  • Comfortable

Tape bra au boobs tape in Spanish wanaweza kusema ni cómoda yani haikuchoshi hata kidogo na sometimes unaweza ukawa umejisahau kuwa umevaa bra. Itakufanya uwe bounce, elegant na sometimes inadepend na jinsi itakavyokukaa na pia usiwe na shaka kuhusu maumivu sijui ya nyuma ya mgongo au katika chest hakuna maumivu ambayo utaweza kupata kwa sababu hizi tape zipo designed kwa ajili ya human skin.

Pia ni luxury way ambayo haina mambo mengi ya kuogopa na itakufanya uwe na good impression.

  • Free size

Kitu kingine kizuri kuhusu tape bra hauwezi kusema sijui nitakosa size sijui ,bra kubwa, sijui hii bra inanibana. unaweza kuchagua tu rangi gani inaendana na ngozi yako au rangi gani unaitaka kulingana na maitaji yako na hakuna mambo ya kuadjust mkanda wa bra.

  • They are stay hidden

Hata uvae aina gani ya nguo tape bra itabaki kutoonekana kwa sababu haina mkanda na inasaidia sana katika ku-manage dress na inajaribu sana katika kushare glory of a dress kuliko kuweka attention katika vitu vingine.

  • Pia Husaidia Kucover Your Nipples

kukufanya uwe classic, sex na hata kuonekana mwanamke unayejielewa na kujali muonekano wako.

  • Inanyanyua Maziwa

Kuna trend iliingiaga bongo ya kuboost breasts kupitia bra za kawaida na haikuwa inamanufaa yoyote katika mionekano ya watu ila tape bra inasaidia kuinua breasts kwa sababu inakuwa imecover sehemu ambayo unahitaji iwe na itaendelea kuremain fitted within the clothes na itafanya nguo yako ikupendeze vizuri na uwe comfortable na mwili wako.

Kama hauna tape bra basi jitaidi sana uwe nayo kwa sababu unaweza kuvalia na nguo yoyote na ipo very confortable na itakufanya usiwaze kabisa kuhusu wewe unavaa size number ngapi ya bra na itakufanya uonekane sexy mda wote

Imeandikwa na @gotchathegreatest

Namna Ya Kupata Great Cleavage Kwa Kutumia Duct Tape

Related posts