Kwa muda mrefu tume kuwa tukiona style mbali mbali za Kuvaa nguo bila sidiria au na sidiria pia, tume ona ku boost, side boob ambapo kwa pembeni yanakua yana onekana kidogo, hii mpya ime kuja ambayo yana onekana kwa chini kidogo, Yah najua una weza ukafikiri ni uchizi ila ndio kinacho kiki kwa sasa
tumeona watu maarufu mbali mballi kama Teyana Taylor ambapo alioneka katika video ya Kanye West Fade na katika Yeezy Season4 run way akiwa ame vaa crop top zinazo onyesha under boob
Mwingine ni Lady Gaga nae ame onekana kuvutiwa na style hii ameonekana nayo mara nyingi
Kendall Jenner alimua kutu alert kabisa kupitia snap chat yake kwamba under boob is her new thing
Pia mwanamitindo Gigy Hadidi nae hakuwa nyuma kuachwa na trend hii
lakini kama ilivyo trend ya side boob, na free your boobs ina bidi uwe na kifua kizuri upate kuivaa, tutawatafutia namna ya kuvaa hii trend kama una sagging boobs au boobs kubwa
Tupe maoni yako kupitia
Instagram -afroswagga
Twitter – afroswaggatz
Facebook – afroswaggamag
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…